Wanaume wengi hawabebeki

Wewe unajua kusoma kweli?
Narudia tena sio sahihi kugeneralize ujinga wa mtu mmoja kwa watu wote. Mwanamke mmoja akiwa anajiuza itakuwa ni sahihi kuhitimisha kwamba wanawake wote ni malaya? Tuache kufanya generalization.
 
Mtu kama mimi ukinihonga milion 2 tu baada ya miez 6 nakupa zawadi yenye thamn kuliko 2millions.

Upele huwaota wasio na kucha.
 
daah yani umeona uje kunitangaza hUku jamani?

si ilikuwa uje tu nyumbani pale pale na funguo inapokaa unapajua
 
Naomba nijebunipe mm huo mtaji
 
umemtukana mpaka babu yako,, babako,, kakako,, mjombako na bashako.....
 
Aisee sio sahihi kugeneralize ujinga wa mtu mmoja kwa watu wote.mfano akija mtu akasema wanawake wote malaya nae atakuwa sahihi?
Huyu ndio bingwa wa kugeneralize, she will never be happy with any man, always negative with men Kwa sababu ya wapumbavu wachache aliokutana nao.
 
Huyu ndio bingwa wa kugeneralize, she will never be happy with any man, always negative with men Kwa sababu ya wapumbavu wachache aliokutana nao.
Mkuu nakubaliana na wewe yaani mimi namwita "MISS GENERALIZATION"
 
Mwanamama mikeke haijawahi kumtupa mtu,soon utakuja na mada ya kumsema jamaa kuwa anajiona baada ya kupiga perfect twelve ya M-Bet
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…