Wanaume wengi hawabebeki

kuna bingwa wa mikopo JF nikuunganishe nae akusaidie mkopo wa kumpa mtaji huyo bwana akoo!!?..
 
Pole sana. Wewe kila unayekutana naye ana matatizo.

Mara anaparamia. Hajui ku sex.
Mara anakula mtaji.
Pole sana.
 
Nipe mimi hiyo fursa wala hutojutia.
 
Hakuna jipya ambalo sijawai kufanyiwa interms of kusuguliwa na bado hujaniconvice kutoa hata mia yangu.
Kwani nini maana ya kula kwa jasho na kuzaa kwa uchungu
Kusuguliwa my as*s
Bado ujafika kilele chamlima kimanjaro wewe
 
Hahaha alooo kazi kweli kweli. How ever si wanaume wote dada.
Wako wanaume wachapa kazi ... ambao hawawezi fanyia pesa ujinga.
Pole lakin kuwa makin sometimes
 
ukome ulivyoona six packs ukajua umepata bonge la bwana lenye malengo kumbe marioo, hio ndo bongo Dar es salaam akikukuna tena vizuri uje na mrejesho
 
Wanaume tumerogwa na mume wa aliyewaroga wanawake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…