Mkuu mwanaume sio ndugu yako alafu acha mwanaume afanye majukumu take na wew ufanye yako hapo ndo wanawake wengine hata wakiwa sana pesa huwa hawawapi wanaume mitaji,,ni sumu kubwa kumpa mwanaume ela acha asake zake unaweza kufa badae akigeukaMwaka jana nimempa kaka mmoja mtaji ili ajikwamue kimaisha ili hata hela ya boxer na viwembe vya kunyoa zivu asiniombe lakini cha kushangaza ilisahau msoto wote kwa muda mfupi tu aliyoshika pesa hizo za mtaji...
Mwanzo alianza vizuri akafungua goli kkoo pale aggrey akawa anauza vitu(phone accessories) kwa bei ya jumla na reja reja,
Miwanaume ilivyomipumbavu hata miezi minne haijaisha akaanza kubetia pesa yote
Mpaka naandika uzi huu limeshafilisika na nimeliacha lifundishwe na ulimwengu.
Wanaume nani aliewaloga????
UliadimikaAisee
Nilikula ban mamiiUliadimika
Sawa na kwa mwanamke,Mkuu mwanaume sio ndugu yako alafu acha mwanaume afanye majukumu take na wew ufanye yako hapo ndo wanawake wengine hata wakiwa sana pesa huwa hawawapi wanaume mitaji,,ni sumu kubwa kumpa mwanaume ela acha asake zake unaweza kufa badae akigeuka
Bado ujasuguliwa vizuri ipo siku utahonga tuuuDah ulianzaje anzaje kuihonga dushee mkuu?
Hii kitu imenishinda kabisa hata nikisikiaga siamini
sasa kauli yangu imetia kwa Uzi huu hasira zenu msilete huku..... Walio watoboa wako wanabetMwaka jana nimempa kaka mmoja mtaji ili ajikwamue kimaisha ili hata hela ya boxer na viwembe vya kunyoa zivu asiniombe lakini cha kushangaza ilisahau msoto wote kwa muda mfupi tu aliyoshika pesa hizo za mtaji...
Mwanzo alianza vizuri akafungua goli kkoo pale aggrey akawa anauza vitu(phone accessories) kwa bei ya jumla na reja reja,
Miwanaume ilivyomipumbavu hata miezi minne haijaisha akaanza kubetia pesa yote
Mpaka naandika uzi huu limeshafilisika na nimeliacha lifundishwe na ulimwengu.
Wanaume nani aliewaloga????
Embu tutakie Heri ya mei dei banahLeo shoga ilibidi hii siku tuiite "may men" sio kwa mabomu hayo..lol
Hahahaha staki ugomvi mm jamanii neyy....[emoji23]Embu tutakie Heri ya mei dei banah
Sawa muite na Miller aje apate ujumbe maridhawaHahahaha staki ugomvi mm jamanii neyy....[emoji23]
Yuko taabani sio kwa kubeba huko zege la leo,..Sawa muite na Miller aje apate ujumbe maridhawa
Mkuu sipo mbali na unachokifikiriaNasikia harufu ya tabia mbaya ya mwanamke kupenda kutongoza wanaume,kama nimekosea mnisamehe!!
Ningeonaje nisingeulizaWe unaona je?
Mwaka jana nimempa kaka mmoja mtaji ili ajikwamue kimaisha ili hata hela ya boxer na viwembe vya kunyoa zivu asiniombe lakini cha kushangaza ilisahau msoto wote kwa muda mfupi tu aliyoshika pesa hizo za mtaji...