Wanaume Wawili Mashoga Wapata vyeo Vikubwa Serekalini

Hii itakua ya kwanza duniani kwa wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kupata vyeo vikubwa kwenye serikali kuu ya nchi.
Makundi mengi yenye maoni tofauti yamekuwa yakipinga mapenzi ya jinsia moja na makundi mengine yakitetea, huko Luxemburg mwanaume anayejulikana kwa jina Xavier Bettel ambaye ameweka wazi kwamba anashiriki mapenzi ya jinsia moja amekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo.
Hapo hapo mwanaume mwingine Etienne Schneider ambaye pia aliweka wazi kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja amepewa umakamo waziri mkuu akimsaidia kazi Xavier Bettel .
Baada ya wawili hawa kupata vyeo hivi vya juu imefanya nchi ya Luxemburg kuwa nchi ya kwanza duniani kuwa na viongozi wa juu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja waziwazi.

!
!
scheider?.....huyu ni mchezaji au?nimemsikia mara kadhaa katika kandanda
 
Tatizo ni kuwa makanisa yanatetea na ku promote uliberali.
Tunaona kila mara kwenye ma tv namna wanamme wa huko ulaya wakifunga ndoa MAKANISANI.
Wapo ma kadinali na ma padri wakubwa kabisa ambao wamejitangaza wazi kuwa ni WALIBERALI. na mpaka leo BADO WANAENDESHA IBADA KTK HAYO MAKANISA YAO.
Mwezi uliopita PAPA wa vatican alipoulizwa kuhusu hizo ndoa alisema kuwa yeye hayuko hapo kuhukumu na hana matatizo na waliberali! Na kwenye kanisa lake wanakaribishwa!
Huyo ndio MUWAKILISHI WA WAKATOLIKI DUNIANI!
Anatoa maneno tofauti kabisa na ANDIKO LAKE!
Sasa kama PAPA mwenyewe hajali huo uliberali nani atakae weza kuwasaidia hawa wakristo wenye kupenda kutafunana wao kwa wao!??
Unapozungumzia Ukristo basi mtu awe anafafanua dhehebu gani sio kupakazia wacha Mungu wa Kweli.... Hata upande wa Waislam huwakataa Al qaeda na kusema wale si waislam japo na wao hujiita waislam... Katoliki ina utaratibu wake ambao kwa wakristo wengine hawaukubali kinachowaunganisha wakrito ni Yesu na kinachowatofautisha ni Biblia inasema vipi wengine wamebase na Mitume wa kale na wengine wamebase na mitume wa baada ya yesu Paul mafundisho yake yana uwalakini ambapo Katoliki ndio almost hufuata karibu kila kitu na madhehebu mengine huchukua yale yanayofanana au kimuonekano na yale ya kale.... hapo ndipo utofauti unapoaanza... na ndio chanzo cha madhehebu mengi ya wakristo...

Ushabiki wa waliberali ni baina ya mtu binafsi so hata akitangaza kiongozi wa dhehebu fulani hiyo ni wazo lake binafsi huwezi sema wakristo wanashabikia pu.mbavu zake yule anayesema hivyo.... huko Syria raia wameruhusiwa kula chochote hadi nguluwe na ni muislam aliyetamka hayo. Mwamedi alioa wanawake wengi then naye akasema wengine waoe wasizidishe wanne...
 
Sasa labda utusaidie kitu kimoja muhimu hapa!
Kama unasema WAKATOLIKI wana ulakini lkn kuna wachamungu wa kweli. Basi naomba unitajie hayo madhehebu ya KIKRISTO ambayo unayaita Wachamungu wa kweli ili na sisi tuelewe kuwa hawa ni nani. Na hawa ni nani.
La si hivyo akitokea padri kaoa padri mwenzake si tunachoona ni UKRISTO TU!
Sasa labda tuanze na wewe!
Je wewe ni dhehebu gani ktk UKRISTO?
Nadhani kama wewe ni muumini mwenye kujiamini na imani yako HUWEZI KUSITA KUJIBU HILI SWALI. Unless kuna walakini pia ktk hilo dhehebu lako.
 
Mimi ni mfuasi wa Yesu na baada ya kugundua wakush wana uhusiano wa Ki DNA Jews huwa nihisi kuwa nami ni Jews na Judaism ndio Dhehebu hata Yesu alikuwa mfuasi wa Torati na Mafundisho yake ya Injili nayaamini Yesu pia. hivyo ukitaja Upande wa Yesu then ukabebesha hayo makitu ya Uliberali nitakupinga sana Dini husimama pale pale bila kubadilika ila watu wake ndio wanaweza badilika na sio wote...

Nadhani umenielewa sifuati maujinga yaliyo nje ya Torati na Injili... Kumbuka natunza Sabato pia kama Yesu alivyokuwa anaitunza na Wayahudi wa kale hadi wa Sasa wanavyoitunza...

Waislam vile vile wana madhehebu yao kama Shia,Suni,Ismailia na Bohora na hawa hawawezi kaa pamoja kusali na wakati mwingine hutaofautiana
 
Kwa kifupi wewe ni MSABATO! au sio?
Hayo mambo ya DNA wala usiyaanzishe hapa kabisa. Kwa sababu hilo ni darasa tofauti kabisa.
Na wala asikudanganye mtu yyt kuwa wewe asili yako ni JEWISH eti kwa sababu kuna Rabi mmoja alisema wafalasha wa Ethiopia wana asili ya kiyahudi.
Huo ulikuwa ni mtego mbaya sana kwa kile kizazi cha wafalasha ambao mpaka leo wanajuta.
Na somo hili linataka uzi wake separate.

Tukirudi kwenye USABATO!
We unaiheshimu sabato na kuitukuza nakuuliza nguruwe na pombe (divai) unatumia? Na je! Yule mkatoliki atakaposema sabato yake ni JUMAPILI! wewe una ushahidi gani kuwa SABATO NI JUMAMOSI!?

Manake sisi WAISLAMU juu ya vitofauti vidogo vidogo WOOTE KWA PAMOJA.
Tunasali mara tano kwa siku.
Tunafunga mwezi wa ramadhani .
Tunatoa zakka.
Tunasoma kitabu kimoja.
Na WOTE tunakwenda kuhijji MAKKAH.
Na ijumaa ndio siku yetu ya mwisho wa wiki.

Sasa nyie tofauti zenu na za kwetu ni kubwa mno.

Wakatoliki wanaabudu MASANAMU!
Wasabato wanasema wanasema IBADA YA MASANAMU NI UKAFIRI!
na mimi hilo nalikubali.

Wakatoliki WANAABUDU JUMAPILI Nyie wasabato MNAABUDU JUMAMOSI.

WAKATOLIKI NGURUWE NA NYAMA YYT NI HALALI NA SAWA TU KUILA!
Wasabato kisicho cheua na kisicho na kwato ambazo hazikupasuka NI HARAMU KULA NA NI DHAMBI KUBWA!

Kwa hivyo kusema kuwa nyie wote mko pamoja lkn tofauti ni kidogo HILO SIO KWELI KABISA!
Hamuwezi kuwa mnasema wote mnamfuata yesu halafu muwe na siku mbili au tatu tofauti za IBADA!

ANDIKO liseme nguruwe ni haramu halafu mmoja wenu aseme NGURUWE halali ! Halafu bado useme kuwa NYIE WOTE MKO PAMOJA??!!!

Tofauti mlizonazo nyie zinawafanya mnakuwa ni WATU WENYE IMANI TOFAUTI KABISA NA WENZENU!

Sasa tukirudi kwenye uzi. Suala la uliberali kwa mujibu wa SABATO hukumu yake ni nini?
Manake upande wa KATOLIKI tumejifunza kuwa PAPA mwenyewe kaishasema kuwa HANA MATATIZO NA WALIBERALI. Na wanakaribishwa sana kanisani kwake.
Hebu nipe MSIMAMO WA DHEHEBU LAKO KUHUSU HAWA WASODOMI!
 
Tatizo ni kuwa makanisa yanatetea na ku promote uliberali.
Tunaona kila mara kwenye ma tv namna wanamme wa huko ulaya wakifunga ndoa MAKANISANI.
Wapo ma kadinali na ma padri wakubwa kabisa ambao wamejitangaza wazi kuwa ni WALIBERALI. na mpaka leo BADO WANAENDESHA IBADA KTK HAYO MAKANISA YAO.
Mwezi uliopita PAPA wa vatican alipoulizwa kuhusu hizo ndoa alisema kuwa yeye hayuko hapo kuhukumu na hana matatizo na waliberali! Na kwenye kanisa lake wanakaribishwa!
Huyo ndio MUWAKILISHI WA WAKATOLIKI DUNIANI!
Anatoa maneno tofauti kabisa na ANDIKO LAKE!
Sasa kama PAPA mwenyewe hajali huo uliberali nani atakae weza kuwasaidia hawa wakristo wenye kupenda kutafunana wao kwa wao!??

mbona mashehe wanakula tigo jomba angu!!! Mbona wanaoa na kuolewa na majini wanawaingilia sehemu zote!! Au umesahau kamuulize shehe atakuambia majini wema na wabaya!! Ukiinama utasikia hakuna mpemba huku!! Au nchi za kiarabu ni dhahiri ni watumiaji wa tigo wazuri' japo ni kimyakimya!!!
 
Mimi ninapo andika huweka na ushahidi.
Sasa kama wewe mkuu kuna jamaa alikudanganya yeye ni shehe halafu akakutoa jini huko uani basi hilo sio kosa letu.
We nipe tu kaushahidi ili ukisemavho kisiwe kama wale waimba taarabu.
 
We unaiheshimu sabato na kuitukuza nakuuliza nguruwe na pombe (divai) unatumia? Na je! Yule mkatoliki atakaposema sabato yake ni JUMAPILI! wewe una ushahidi gani kuwa SABATO NI JUMAMOSI!?
Neno Jumamosi ni neno la kiswahili na likiwa linamaanisha Siku ya juma ya kwanza(Mosi) na huyo aliyetafasiri hii siku sijapata jibu alifikiri nini maana kama lugha ya Kiswahili imetokana na kiarabu basi kwa Kiarabu siku ya Al-khamis ni siku ya tano ya juma hivyo ijumaa ni siku ya sita na jumamosi ni siku ya Saba na jumapili ni siku ya kwanza....nadhani utaelewa katika Biblia imesema siku aliyokufa yesu ni ijumaa siku ya sita na siku ya saba Yesu alipumzika kabulini na siku ya kwanza ya juma alifajili Mariamu magdalena walienda kabulini kwa Yesu na kukuta hayupo.... hivyo hapo inajionesha siku ya Sabato ni Sabbato kwetu ni siku ya Jumamosi Sabato ni Saba.... hii kitu ipo wazi....haiitaji uchambuzi mrefu sana yaani fasta tu unapata jibu...

Manake sisi WAISLAMU juu ya vitofauti vidogo vidogo WOOTE KWA PAMOJA.
Tunasali mara tano kwa siku.
Tunafunga mwezi wa ramadhani .
Tunatoa zakka.
Tunasoma kitabu kimoja.
Na WOTE tunakwenda kuhijji MAKKAH.
Na ijumaa ndio siku yetu ya mwisho wa wiki.
Hapo nakataa manake Mabohora huswali mara moja tu kwa wiki wakisema Mungu si wa Kumsumbua kila siku na kila baada ya muda hivyo siku moja tu wao huswali... mnatofauti kubwa sana... Washia na wasuni wakati wa kuswali kuna utofauti mkubwa pale wanapoweka mikono kumuomba Allah wenu.. kitu kikubwa Waislam wa Bongo nimekuwa nikiwauliza Waislam wengi wao ni waislam ila wa dhehebu lipi maana hapa Bongo kuna washia wengi wao ni Wahindi katika waswahili nafahamu yupo Shehe Hemed Jalala yeye ni Mshia kabisa sijajua sababu ya misaada au lah kutoka kwa wahindi na yeye hajambo ana watu wake wanamfuata... Wasuni nao ni wahindi kuna bohora nao ni wahindi tena wana misikiti yao kabisa ya kipekee nadra sana kukuta mswahili au mwarabu tena misikiti yao imepambika haswa ya Gharama kubwa... Waislam wa Tanzania au BAKWATA ni wa upande upi? kuna kitu kinaitwa ansal sunna hii kitu siielewi naomba unielekeze nalo ni dhehebu au? usaidizi hapo maana utasikia pale mwezi utakapo andama...

Zakka ipo kisheria hata dini zingine.... huu ni utamaduni wa kale tokea Adam.
Kufunga hata Wakristo hufunga ila kuna utofauti Sisi hufuata Sabato ya kumi na tatu ya mwaka ndipo hufanya mfungo na hii ni Desturi ya wayahudi na yesu alifunga...na akajaribiwa na Shetani...

Kusoma kitabu kimoja hata Wakristo pia
Nadhani kuna vitu ambavyo vipo wazi na wala havitakiwi kuchalenjiwa na wewe unaonesha wafahamu mengi kwa jinsi unavyouliza na kusema yako....
Mecca mnaenda lakini si wote kama ni ulazima basi kazi mnayo na wale wasioenda hadi wakapoteza uhai ndio watakuwa upande upi siku ya hukumu? najua watatetewa....

Sasa nyie tofauti zenu na za kwetu ni kubwa mno.

Wakatoliki wanaabudu MASANAMU!
Wasabato wanasema wanasema IBADA YA MASANAMU NI UKAFIRI!
na mimi hilo nalikubali.

Wakatoliki WANAABUDU JUMAPILI Nyie wasabato MNAABUDU JUMAMOSI.

WAKATOLIKI NGURUWE NA NYAMA YYT NI HALALI NA SAWA TU KUILA!
Wasabato kisicho cheua na kisicho na kwato ambazo hazikupasuka NI HARAMU KULA NA NI DHAMBI KUBWA!

Kwa hivyo kusema kuwa nyie wote mko pamoja lkn tofauti ni kidogo HILO SIO KWELI KABISA!
Hamuwezi kuwa mnasema wote mnamfuata yesu halafu muwe na siku mbili au tatu tofauti za IBADA!

ANDIKO liseme nguruwe ni haramu halafu mmoja wenu aseme NGURUWE halali ! Halafu bado useme kuwa NYIE WOTE MKO PAMOJA??!!!

Tofauti mlizonazo nyie zinawafanya mnakuwa ni WATU WENYE IMANI TOFAUTI KABISA NA WENZENU!
Kuwasemea Wakatoliki wanaabudu Sanamu hilo linakuwa gumu kwangu kuchangia labda waje wenyewe.... ila Katika agano la kale Mungu alikataza kujifanyia sanamu kwa sababu watu walikuwa na ka hako kamchezo ka kuabudu sanamu huku wakimsahau yeye kwani aliwaambia wazi yeye ana wivu akuumbe yeye then umuabudu mwingine... ndio maana kwa Wasabato na wayahudi huwezi kukuta sanamu...

Kuhusu nguluwe ni mnyama mchafu amekatazwa na wanyama wengi tu wasiliwe hivyo mtu akila amependa yeye tu kwani imeaandikwa usile wala usiguse mizoga yao... hivyo naweza kuwa na mkatoliki kuwa tu pamoja ila tunatofautiana kwa hili na lile... zamani nilijua Allah ni yule yule Mungu aliyetajwa kwenye Biblia lakini humu humu JF nimegutushwa ni tofauti kabisa Wakristo tunaamini Mungu wa Ibrahim Mungu wa Yakobo na Mungu wa Isaka ni Same Ndie yule aliyekataliwa na Farao sasa humu JF kuna mtu alisema kuwa Allah alikili kuwa yeye si Mungu kwa lugha ya kiarabu nilishangazwa.. kwani mwanzoni nilijua tunaamini Mungu mmoja ila tupo tofauti na jinsi ya kuabudu... kwa ule uzao ya Ibrahimi na wale watoto wake Ishmael na Isaka kwani Ishmael naye alipewa mibaraka kwa sababu Ibrahim aliambiwa atakuwa father of Many Nations ndio ndio ilivyokuwa... ki historia arabuni nchi nyingi ni uzao wa Ibrahim na Europe pia Asia too

Sasa tukirudi kwenye uzi. Suala la uliberali kwa mujibu wa SABATO hukumu yake ni nini?
Manake upande wa KATOLIKI tumejifunza kuwa PAPA mwenyewe kaishasema kuwa HANA MATATIZO NA WALIBERALI. Na wanakaribishwa sana kanisani kwake.
Hebu nipe MSIMAMO WA DHEHEBU LAKO KUHUSU HAWA WASODOMI!
mimi sitoi msimamo wa makanisa au kanisa kwa jinsi nijuavyo hii kitu inapingwa na wamcha Mungu wote... kwani hata kwenye biblia imeandikwa waf raji hawatauona ufalme wa Mungu. Mwili ni hekalu la Mungu hakuna mtu wa kutoa hukumu Duniani ila nafasi Mungu aliyompa Binadamu achague yeye Mwenyewe... Hata yesu alifuatwa na Mtenda dhambi mwanamke kahaba watu walikasirika sana ila aliwaambia sikuja kwa ajili ya watu wema bali kwa ajili ya wenye dhambi.... hao pengine watabadilika na uamuzi ni wao kusuka au kunyoa....
[h=1]1 Wakorintho 6[/h] 1 Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo?
2 Hamjui ya kuwa mtawahukumu malaika, basi si zaidi sana mambo ya maisha haya?
3 Basi, mkiwa na mahali panapohukumiwa mambo ya maisha haya, mwawaweka kuwa waamuzi hao waliohesabiwa kuwa si kitu; katika kanisa?
4 Nasema hayo nipate kuwatahayarisha. Je! Ndivyo, kwamba kwenu hakuna hata mtu mmoja mwenye hekima, awezaye kukata maneno ya ndugu zake?
5 Bali mwashitakiana, ndugu kwa ndugu, tena mbele yao wasioamini.
6 Basi imekuwa upungufu kwenu kabisa kwamba mnashitakiana ninyi kwa ninyi. Maana si afadhali kudhulumiwa? Maana si afadhali kunyang'anywa mali zenu?
7 Bali kinyume cha hayo ninyi wenyewe mwadhulumu watu na kunyang'anya mali zao; naam, hata za ndugu zenu.
8 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
9 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
10 Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.
11 Vitu vyote ni halali kwangu, lakini si vyote vifaavyo; vitu vyote ni halali kwangu, lakini mimi sitatiwa chini ya uwezo wa kitu cho chote.
12 Vyakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa vyakula; lakini Mungu atavitowesha vyote viwili, tumbo na vyakula. Lakini mwili si kwa zinaa, bali ni kwa Bwana, naye Bwana ni kwa mwili.
13 Naye Mungu alimfufua Bwana, na tena atatufufua sisi kwa uweza wake.
14 Je! Hamjui ya kuwa miili yenu ni viungo vya Kristo? Basi nivitwae viungo vya Kristo na kuvifanya viungo vya kahaba? Hasha!
15 Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.
16 Lakini yeye aliyeungwa na Bwana ni roho moja naye.
17 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
18 Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe;
19 maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu.
20 Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.
 
Neno Jumamosi ni neno la kiswahili na likiwa linamaanisha Siku ya juma ya kwanza(Mosi) na huyo aliyetafasiri hii siku sijapata jibu alifikiri nini maana kama lugha ya Kiswahili imetokana na kiarabu basi kwa Kiarabu siku ya Al-khamis ni siku ya tano ya juma hivyo ijumaa ni siku ya sita na jumamosi ni siku ya Saba na jumapili ni siku ya kwanza....nadhani utaelewa katika Biblia imesema siku aliyokufa yesu ni ijumaa siku ya sita na siku ya saba Yesu alipumzika kabulini na siku ya kwanza ya juma alifajili Mariamu magdalena walienda kabulini kwa Yesu na kukuta hayupo.... hivyo hapo inajionesha siku ya Sabato ni Sabbato kwetu ni siku ya Jumamosi Sabato ni Saba.... hii kitu ipo wazi....haiitaji uchambuzi mrefu sana yaani fasta tu unapata jibu...

Hapo nakataa manake Mabohora huswali mara moja tu kwa wiki wakisema Mungu si wa Kumsumbua kila siku na kila baada ya muda hivyo siku moja tu wao huswali... mnatofauti kubwa sana... Washia na wasuni wakati wa kuswali kuna utofauti mkubwa pale wanapoweka mikono kumuomba Allah wenu.. kitu kikubwa Waislam wa Bongo nimekuwa nikiwauliza Waislam wengi wao ni waislam ila wa dhehebu lipi maana hapa Bongo kuna washia wengi wao ni Wahindi katika waswahili nafahamu yupo Shehe Hemed Jalala yeye ni Mshia kabisa sijajua sababu ya misaada au lah kutoka kwa wahindi na yeye hajambo ana watu wake wanamfuata... Wasuni nao ni wahindi kuna bohora nao ni wahindi tena wana misikiti yao kabisa ya kipekee nadra sana kukuta mswahili au mwarabu tena misikiti yao imepambika haswa ya Gharama kubwa... Waislam wa Tanzania au BAKWATA ni wa upande upi? kuna kitu kinaitwa ansal sunna hii kitu siielewi naomba unielekeze nalo ni dhehebu au? usaidizi hapo maana utasikia pale mwezi utakapo andama...

Zakka ipo kisheria hata dini zingine.... huu ni utamaduni wa kale tokea Adam.
Kufunga hata Wakristo hufunga ila kuna utofauti Sisi hufuata Sabato ya kumi na tatu ya mwaka ndipo hufanya mfungo na hii ni Desturi ya wayahudi na yesu alifunga...na akajaribiwa na Shetani...

Kusoma kitabu kimoja hata Wakristo pia
Nadhani kuna vitu ambavyo vipo wazi na wala havitakiwi kuchalenjiwa na wewe unaonesha wafahamu mengi kwa jinsi unavyouliza na kusema yako....
Mecca mnaenda lakini si wote kama ni ulazima basi kazi mnayo na wale wasioenda hadi wakapoteza uhai ndio watakuwa upande upi siku ya hukumu? najua watatetewa....

Kuwasemea Wakatoliki wanaabudu Sanamu hilo linakuwa gumu kwangu kuchangia labda waje wenyewe.... ila Katika agano la kale Mungu alikataza kujifanyia sanamu kwa sababu watu walikuwa na ka hako kamchezo ka kuabudu sanamu huku wakimsahau yeye kwani aliwaambia wazi yeye ana wivu akuumbe yeye then umuabudu mwingine... ndio maana kwa Wasabato na wayahudi huwezi kukuta sanamu...

Kuhusu nguluwe ni mnyama mchafu amekatazwa na wanyama wengi tu wasiliwe hivyo mtu akila amependa yeye tu kwani imeaandikwa usile wala usiguse mizoga yao... hivyo naweza kuwa na mkatoliki kuwa tu pamoja ila tunatofautiana kwa hili na lile... zamani nilijua Allah ni yule yule Mungu aliyetajwa kwenye Biblia lakini humu humu JF nimegutushwa ni tofauti kabisa Wakristo tunaamini Mungu wa Ibrahim Mungu wa Yakobo na Mungu wa Isaka ni Same Ndie yule aliyekataliwa na Farao sasa humu JF kuna mtu alisema kuwa Allah alikili kuwa yeye si Mungu kwa lugha ya kiarabu nilishangazwa.. kwani mwanzoni nilijua tunaamini Mungu mmoja ila tupo tofauti na jinsi ya kuabudu... kwa ule uzao ya Ibrahimi na wale watoto wake Ishmael na Isaka kwani Ishmael naye alipewa mibaraka kwa sababu Ibrahim aliambiwa atakuwa father of Many Nations ndio ndio ilivyokuwa... ki historia arabuni nchi nyingi ni uzao wa Ibrahim na Europe pia Asia too

mimi sitoi msimamo wa makanisa au kanisa kwa jinsi nijuavyo hii kitu inapingwa na wamcha Mungu wote... kwani hata kwenye biblia imeandikwa waf raji hawatauona ufalme wa Mungu. Mwili ni hekalu la Mungu hakuna mtu wa kutoa hukumu Duniani ila nafasi Mungu aliyompa Binadamu achague yeye Mwenyewe... Hata yesu alifuatwa na Mtenda dhambi mwanamke kahaba watu walikasirika sana ila aliwaambia sikuja kwa ajili ya watu wema bali kwa ajili ya wenye dhambi.... hao pengine watabadilika na uamuzi ni wao kusuka au kunyoa....
[h=1]1 Wakorintho 6[/h] 1 Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo?
2 Hamjui ya kuwa mtawahukumu malaika, basi si zaidi sana mambo ya maisha haya?
3 Basi, mkiwa na mahali panapohukumiwa mambo ya maisha haya, mwawaweka kuwa waamuzi hao waliohesabiwa kuwa si kitu; katika kanisa?
4 Nasema hayo nipate kuwatahayarisha. Je! Ndivyo, kwamba kwenu hakuna hata mtu mmoja mwenye hekima, awezaye kukata maneno ya ndugu zake?
5 Bali mwashitakiana, ndugu kwa ndugu, tena mbele yao wasioamini.
6 Basi imekuwa upungufu kwenu kabisa kwamba mnashitakiana ninyi kwa ninyi. Maana si afadhali kudhulumiwa? Maana si afadhali kunyang'anywa mali zenu?
7 Bali kinyume cha hayo ninyi wenyewe mwadhulumu watu na kunyang'anya mali zao; naam, hata za ndugu zenu.
8 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
9 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
10 Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.
11 Vitu vyote ni halali kwangu, lakini si vyote vifaavyo; vitu vyote ni halali kwangu, lakini mimi sitatiwa chini ya uwezo wa kitu cho chote.
12 Vyakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa vyakula; lakini Mungu atavitowesha vyote viwili, tumbo na vyakula. Lakini mwili si kwa zinaa, bali ni kwa Bwana, naye Bwana ni kwa mwili.
13 Naye Mungu alimfufua Bwana, na tena atatufufua sisi kwa uweza wake.
14 Je! Hamjui ya kuwa miili yenu ni viungo vya Kristo? Basi nivitwae viungo vya Kristo na kuvifanya viungo vya kahaba? Hasha!
15 Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.
16 Lakini yeye aliyeungwa na Bwana ni roho moja naye.
17 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
18 Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe;
19 maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu.
20 Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.

Kwa hio kwa mujibu wa maandiko haya. Yule papa amelaaniwa! Au sio??
Manake yeye na waliberali hakuna shida! Wala humsikii hata siku moja akisema waf..ji wamelaani! Bali anasema ni marafiki na yeye hawezi kuwahukumu.

Sasa nataka na wewe usikwepekwepe sema tu hadharani kuwa kwa kwenda kinyume na maandiko ya biblia PAPA AMELAANIWA!
ili tujue kumbe kuna wakiristo wenye msimamo!
 
Siwezi kumsemea Mtu maandiko yapo wazi siwezi kuhukumu na siwezi kumkataa hata awe Shoga kwani tumeambiwa Dhambi zote zinasameheka kwa Mungu isipokuwa kumtukana Roho Mtakatifu tu... kuhusu mashoga hata uingereza kuna Msikiti unajengwa au tayariushajengwa wa Mashoga... kama nyie mpepewa uwezo wa kuhukumu ni juu yenu... unaweza kuwa Mwivi mhuni lakini siku ukatubu na kufuata maandiko utasamehewa dhambi na Mungu wako... ndio tulivyoaminishwa no Udikteta nikila mtu atabeba msalaba wake... ukifanya machukizo kwa Mungu wako ni wewe ukifanya mema ni wewe utakuja kuhukumiwa siku ya mwisho wa Dunia... Usilazimishe watu wahukumu jambo la muhimu ni kuwaonesha Maandiko waelewe na waamue wenyewe.... kuwashauri wafanye mema ni jambo jema..... PAPA amemekutana na maswali kama ya mafarisayo waliokuwa wakimuuliza Yesu na Yesu alijibu vizuri sana.... kuwa Amekuja kwa ajili ya wenye Dhambi ili wapate kuokoka...

Kuwa na msimamo wangu ni kuwa na Imani hadi Mwisho.... huo Uliberali ni Machukizo kwa Mungu.... kwa upande wangu huwa siyaoni ila kama nyie mwayaona basi ni juu yenu kama yanawachukiza au kukufurahisha ni juu yako ila la muhimu ni bora ukemee.... na si kuhukumu.
 
Huo msikiti wa waliberali.ulioko uingereza hebu tusaidie ushahidi tafadhali!
Halafu maneno yako mengi unakwepa kusema aliyosema yesu!.

Yesu hakuleta maneno meengi kukwepa ukwelu.
Uliberali umepigwa MARUFUKU NA ANDIKO FULL STOP!
Hayo mambo ya kutubu na bla bla yanaweza yafanyike au yasifanyike.
Lkn mara zote nyie mnakuwa hamna msimamo.
Ndio maana leo makanisa yanadondoka na kukosa abiria. Sababu kubwa mojawapo ni hii ya kutokuwa na msimamo!
Afanyae dhambi mnasema ataubeba msalaba wake.
Mwenye kuja kanisani mnamwambia dhambi zake kabeba yesu!
Sasa kama yesu kaja kwa ajili ya wenye dambi kwanini asibebe hizo dhambi za waliberali??
Be specific mkuu. Usituonyeshe udhaifu wako.
Sio picha nzuri kwa kanisa.
 
Kibaya kilaani kizuri kisifie usijaribu kuhalalisha uovu kwa kufananisha na hoja za kujitungia
Unapozungumzia Ukristo basi mtu awe anafafanua dhehebu gani sio kupakazia wacha Mungu wa Kweli.... Hata upande wa Waislam huwakataa Al qaeda na kusema wale si waislam japo na wao hujiita waislam... Katoliki ina utaratibu wake ambao kwa wakristo wengine hawaukubali kinachowaunganisha wakrito ni Yesu na kinachowatofautisha ni Biblia inasema vipi wengine wamebase na Mitume wa kale na wengine wamebase na mitume wa baada ya yesu Paul mafundisho yake yana uwalakini ambapo Katoliki ndio almost hufuata karibu kila kitu na madhehebu mengine huchukua yale yanayofanana au kimuonekano na yale ya kale.... hapo ndipo utofauti unapoaanza... na ndio chanzo cha madhehebu mengi ya wakristo...

Ushabiki wa waliberali ni baina ya mtu binafsi so hata akitangaza kiongozi wa dhehebu fulani hiyo ni wazo lake binafsi huwezi sema wakristo wanashabikia pu.mbavu zake yule anayesema hivyo.... huko Syria raia wameruhusiwa kula chochote hadi nguluwe na ni muislam aliyetamka hayo. Mwamedi alioa wanawake wengi then naye akasema wengine waoe wasizidishe wanne...
 
Unapozungumzia Ukristo basi mtu awe anafafanua dhehebu gani sio kupakazia wacha Mungu wa Kweli.... Hata upande wa Waislam huwakataa Al qaeda na kusema wale si waislam japo na wao hujiita waislam... Katoliki ina utaratibu wake ambao kwa wakristo wengine hawaukubali kinachowaunganisha wakrito ni Yesu na kinachowatofautisha ni Biblia inasema vipi wengine wamebase na Mitume wa kale na wengine wamebase na mitume wa baada ya yesu Paul mafundisho yake yana uwalakini ambapo Katoliki ndio almost hufuata karibu kila kitu na madhehebu mengine huchukua yale yanayofanana au kimuonekano na yale ya kale.... hapo ndipo utofauti unapoaanza... na ndio chanzo cha madhehebu mengi ya wakristo...

Ushabiki wa waliberali ni baina ya mtu binafsi so hata akitangaza kiongozi wa dhehebu fulani hiyo ni wazo lake binafsi huwezi sema wakristo wanashabikia pu.mbavu zake yule anayesema hivyo.... huko Syria raia wameruhusiwa kula chochote hadi nguluwe na ni muislam aliyetamka hayo. Mwamedi alioa wanawake wengi then naye akasema wengine waoe wasizidishe wanne...

Mlaleo mnaunganishwa na Yesu na kutenganishwa na biblia? Mbona huta huyo Yesu inaonekana kila dhehebu lina Yesu wao? Wasabato wanayesu wao hali kadhalika wakatoriki wanayesu wao. Yesu wa wakatoriki anaruhusu kunywa pombe>divai na Yesu wa wasabato ni haramu. Je huoni hawa ni wawili tofauti?
 
Back
Top Bottom