Wanaume watabakia kuwa wanaume tu hatari sana

Wanaume watabakia kuwa wanaume tu hatari sana

sikia bro ni mwanaume yupi anatoa laki tano kwa kila demu?,unasema laki 5 ni ndogo kununulia vipodozi,hiyo ni kwa standards zipi?naishi dunia hii na wewe ni hii,tuache kuongea vya kufikirika narudia hakuna mwanaume wa kutoa pesa hizo
Aliekuroga akuhurumie.
Unayotaka kuleta ni mabishano yasiyo na tija.

Watu wananunua perfume za $200
Hajaongelea make-up kits zilizosimama wewe unaleta habari ya Laki Tano?

Si kila unae pishana nae mjini udhani uko sawa nae mkuu.

Hayo maisha watu wanaishi na ni hapahapa Bongo.
 
Back
Top Bottom