Wanaume watabakia kuwa wanaume tu hatari sana

Wanaume watabakia kuwa wanaume tu hatari sana

Huyo aliyezalisha hela alileta dharau kwa mshikaji.Maana jamaa hatafuti ndondocha wa kumzalishia anatafuta mke.Hela anazo.Aoe mke asiyemvutia kisha mchapa kazi halafu akimuingiza ndani aanze kupambana na dhambi ya uzinzi kwa kutamani wenye makalio.
 
Dunia sasa iko mashakani chura kimekuwa kitu cha kushangiliwa na wengi..
 
Katika hayo yote hakuna mwanamke wa kitz anaweza kufanya labda huyo wa vipodozi kidogo kajitahidi kujiremba kwa ajil ya jamaa
 
Staff ya jamii forum mlivyowemgi lakin mpaka sasa hili bandiko halijahama na kuna wengine mnajiita Paw yaani makucha, hayo makucha ya kazi gani? si bora hoof.
 
Kwanza ni story ya uongo, hizo hisa zilikaa miaka mingapi kimzalishia hyo hela na jamaa anangoja tu? Pia naturally wanaume anamtamani mwanamke af akiwa na heshima na tabia nzuri ndo anampenda. Haya mambo cjui demu anafanya kaz benk, cjui ana GPA nzuri, sijui ni mtafutaji, ni kwasababu ya umasikini na uwoga wa maisha.
 
Sasa mwanamke akiwa na akili ya kutafuta pesa na mimi nifanye nini??

Huyo wa kwanza ndio mwanamke wa kuoa..

Kazi ya mwanamke ni kupendeza ili anivutie, sio nioe anaejua kutafuta alafu nikachepuke kwa waliopendeza eboo!!!!

Wadada pendezeni kutafuta pesa tuachieni sisi
 
Zawadi ya kudumu ni kubarikirikiwa “........”
 
Zungusha mikono kuonyesha unahitaji mabadiriko
 
Mwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh. 500,000/= kila mmoja huku akitaka kujua ni namna gani watazitumia.

Mwanamke wa kwanza alitumia pesa yote kununua vipodozi. Alitembelea duka la vipodozi na urembo akajikwatua sawa sawa! Alivyorudi kwa mchumba wake akamwambia,
"Nimeamua kutumia pesa yote kwa ajili ya kujipamba ili nizidi kukupendeza machoni pako na kukuvutia maana nakupenda sana." Hakika yule mwanaume akapendezwa sana na mpenzi wake.

Mwanamke wa pili alinunua zawadi kwa ajili ya bwana wake. Alinunua simu janja mpya kwa ajili ya bwana wake, saa ya kisasa, nguo na viatu vizuri. Alivyofika kwa bwana wake alimwambia, "Pesa yote nimeitumia kununua hizi zawadi zako maana nina kupenda sana." Jamaa akafarijika sana.

Mwanamke wa tatu aliwekeza zile pesa kwenye soko la hisa na baada ya muda fulani alipata faida ya shilingi 2,000,000/=. Mwanamke yule aliamua kumrudishia bwana wake ile pesa aliyokuwa amepewa yaani laki 5 na pesa iliyokuwa imebakia alifungua akaunti ya pamoja na bwana wake. Kisha yule mwanamke akamwambia yule jamaa,
"Nahitaji kuwekeza na kuhifadhi kesho yetu kwa sababu nakupenda sana." Hakika yule mwanamke alimfurahisha sana jamaa.

Jamaa akatafakari sana yale ambayo yalikuwa yamefanywa na wale wanawake baada ya kupewa laki 5.

Lakini mwisho wa siku jamaa aliamua kumwoa mwanamke mwenye makalio makubwa!
View attachment 670267
kwanza stori hii ni ya uongo wa hatari,hivi kwa sasa yuko wapi mwanaume wa kuwapa wanawake lakii 5?, na ni vipodozi gani vya laki 5?,siku nyingine uwe unaeleza wazi tu kuwa ni stori ya kubuni
 
Back
Top Bottom