jela miezi 6 inakuitaaaMwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh. 500,000/= kila mmoja huku akitaka kujua ni namna gani watazitumia.
Mwanamke wa kwanza alitumia pesa yote kununua vipodozi. Alitembelea duka la vipodozi na urembo akajikwatua sawa sawa! Alivyorudi kwa mchumba wake akamwambia,
"Nimeamua kutumia pesa yote kwa ajili ya kujipamba ili nizidi kukupendeza machoni pako na kukuvutia maana nakupenda sana." Hakika yule mwanaume akapendezwa sana na mpenzi wake.
Mwanamke wa pili alinunua zawadi kwa ajili ya bwana wake. Alinunua simu janja mpya kwa ajili ya bwana wake, saa ya kisasa, nguo na viatu vizuri. Alivyofika kwa bwana wake alimwambia, "Pesa yote nimeitumia kununua hizi zawadi zako maana nina kupenda sana." Jamaa akafarijika sana.
Mwanamke wa tatu aliwekeza zile pesa kwenye soko la hisa na baada ya muda fulani alipata faida ya shilingi 2,000,000/=. Mwanamke yule aliamua kumrudishia bwana wake ile pesa aliyokuwa amepewa yaani laki 5 na pesa iliyokuwa imebakia alifungua akaunti ya pamoja na bwana wake. Kisha yule mwanamke akamwambia yule jamaa,
"Nahitaji kuwekeza na kuhifadhi kesho yetu kwa sababu nakupenda sana." Hakika yule mwanamke alimfurahisha sana jamaa.
Jamaa akatafakari sana yale ambayo yalikuwa yamefanywa na wale wanawake baada ya kupewa laki 5.
Lakini mwisho wa siku jamaa aliamua kumwoa mwanamke mwenye makalio makubwa!
View attachment 670267
Nimejikuta natungua kicheko cha kufa mtu, watu mna story aiseee daaah
Kiukwel mm ningeli oa alie kuza pesa kwa kuweka soko la hisa
Moral of the story☺
Ningeshangaa ungepata Hata like moja walahi ningekupokonya.
Unalotea mambo ya 2017 sisi? Bloodshit.
Aiseeee jamaa kapenda tako.
Moral of the story☺
Huyo mwanaume hana tofauti na mwanamke aliyenunua vipodozi!!
Atakuwa yule aliyenunua vipodozi ndio aliyeolewa maana akili zao zipo makalioni
Hadithi nzuri
embu njoo tu huku upunguze matatizoNimejikuta tu natukana kimoyomoyo "*****"
happy new year! dah tulijua umebebwa na wasiojulikana! habari ya dodoma?SAWA MKUU
Zawadi yakudumu ni kubarikiwa wo-wo-woo!Moral of the story☺
Zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wo-wo-woo!Hadithi yako inatufundisha nini mkii
Zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wo-wo-woo!hadith yakp inatu fundsha nn jamaa
Unaishi Dunia ipi?kwanza stori hii ni ya uongo wa hatari,hivi kwa sasa yuko wapi mwanaume wa kuwapa wanawake lakii 5?, na ni vipodozi gani vya laki 5?,siku nyingine uwe unaeleza wazi tu kuwa ni stori ya kubuni
sikia bro ni mwanaume yupi anatoa laki tano kwa kila demu?,unasema laki 5 ni ndogo kununulia vipodozi,hiyo ni kwa standards zipi?naishi dunia hii na wewe ni hii,tuache kuongea vya kufikirika narudia hakuna mwanaume wa kutoa pesa hizoUnaishi Dunia ipi?
Uko hai kweli?
Nina mashaka.
Mambo mengine sio ya kukurupuka,
Unatuaibisha wanaume.
Laki Tano hela ya kawaida sana kwa manunuzi ya ulimbwende wa wachumba classic si sungura Poli wenu lakini.
jela miezi 6 inakuitaaa
nakushauri ufuteee la sivyo utaenda kuwa mwanamke wa wanaume jela
embu njoo tu huku upunguze matatizo
1. Story: Money Penny ni nani lakini?!
2. USHAURI: UKIMTUKANA MTU SASA HIVI JELA MIEZI 6...
sikia bro ni mwanaume yupi anatoa laki tano kwa kila demu?,unasema laki 5 ni ndogo kununulia vipodozi,hiyo ni kwa standards zipi?naishi dunia hii na wewe ni hii,tuache kuongea vya kufikirika narudia hakuna mwanaume wa kutoa pesa hizo
yes nakubali kabisa kuwa wapo wanaume wanakamata mademu classic lakini kwa muktadha upi?huu wa kutafuta mkwevwa kuoa?au mashamadhamu yabpesa na vituko vyake?Kuna wanaume wanakamata wanawake classic achana na wakina mwanajuma ndala ndefu.
Nakuona NakuonaNshakaa sana huko wengi walikuwa wake zangu wanawake sio wanaume.
Nimecheka mpaka machozi yamenitoka
yes nakubali kabisa kuwa wapo wanaume wanakamata mademu classic lakini kwa muktadha upi?huu wa kutafuta mkwevwa kuoa?au mashamadhamu yabpesa na vituko vyake?