Wanaume wasioelewa somo

kilichoumbwa na mungu kumnyima mwenzio dhambi

1 john 4:8

Whoever does not love does not
know God, because God is love.

Umetafsiri vibaya mkuu.
Upendo unaomaanisha hapa ni ule wa kwenye kitabu cha 1Korintho 13.
Na sio uzinzi na kutoka nje ya ndoa.
Naomba umuogope MUNGU usiyageuze maandiko kwa kuyatafsiri vibaya.
 
Umepokea zawadi yake?Kama ndivyo unazidi kumhamasisha.Na kama sivyo usipokee mwambie itahatarisha ndoa yako na wewe bado wampenda mumeo. Au unaogopa huyo bosi wako kuadi atakufukuza kazi?Siri moja sisi wanaume tunajua kushupalia mpaka tufanikiwe hatukati tamaa.!!!
 
Kumbuka mmiliki wa iphone anapenda facebook ya bure.jiandae kutoa facebook ya bure plus plus
 
Mtanulie tu kibox manyoya hakina speed mita kwamba kitaonesha kimetumika kiasi gani
 
chukua dadaa.....ya nn kujitesa ??panua ubadili ladha
 
Huwa hatuulizi swali kama hilo huyu mtu mzima hahahaaaa simu kapokea bana anaanzaje kuiacha???

Nilikuwa nahakiki tu!!!!! yataka roho ya chuma kuoachia iphone6 haswaaaa kwa wadada wa mujini
 
ooooh!!!! unaomba ushauri wa nini???? kama humtaki usiseme kwa maneno na vitendo pia

ushauri mzuri huu, shida mdada anakukataa kwa maneno huku matendo yanaashiria 'niyangusage'

Naamini akitumia short and clear words halafu akasimamia msimamo wake plus sura ya mbuzi, babu lazima ainue mikono. Lakini kama anataendelea kujifaragua ooh simu yangu haina tatizo wakati kumbe amemblock na anaogopa kumpa makavu kule nimekublock, babu ataendelea kusumbua!
 
 
Last edited by a moderator:

Inaonekana hofu yako ni umri mkubwa alokuwa nao lakini kwingineko u dont care
 
Ohh, kwa hali nionayo waonekana shaksia ulielelewa na familia yenye maadali na adabu nzuri. Nakushajiisha uendelee kukomalia msimamo wako wakutodanganyika kiurahisi. Heshima kwenu wote na Maasalama mbeleni.
 

Kuwa tu makini kwa kila unachokifanya ili ufanye maamuzi yaliyo sahihi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…