Wanaume warefu weupe

Wanaume warefu weupe

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,675
Reaction score
1,754
Kwa utafiti nilioufanya wanaume warefu weupe wanajisikia sana tena wanajiona wao ndo wazuri na si ajabu mwanaume mrefu mweupe akajisifia kuwa yeye ni mzuri wakati uzuri wa mwanaume ni pesaa na utafutaji pia wengi wao wana tabia za kike yani unakuta mwanaume mmbeammbea ana vimisemo vya kike na tena kitandani ni zero wenyewe ni vua nichomeke kwa mnaofahamu mtaungana nami.note;sio wote ila asilimia kubwa wapo hivo.
 
Meseji sent.... Najua sasa hivi kalala... Ila akiamka ataisoma
 
Uo Utafiti wako umeufanyia wapi?Kwa muda gani?Is It Scientific?O You just written Without Any Proof &Evidence.!Tupe respondents wako na wapi umepata Data,.Msije ifanya Jamii Forum Ikashuka Thamani Kama facebook
 
Akili ndogo saana..... Etu uzuri wa mwanaume pesa.....hapo hapo unalalamika mara kitandani hamna kitu....

Sijui Ni nan aliyewaroga baadhi ya wanawake hawajui nn wanataka in relationship.....

With This mentality.....mtaendelea kuumizwa deile...
 
Acha kutuponda bana au bwana wako amekutenda nin
 
Kwa utafiti nilioufanya wanaume warefu weupe wanajisikia sana tena wanajiona wao ndo wazuri na si ajabu mwanaume mrefu mweupe akajisifia kuwa yeye ni mzuri wakati uzuri wa mwanaume ni pesaa na utafutaji pia wengi wao wana tabia za kike yani unakuta mwanaume mmbeammbea ana vimisemo vya kike na tena kitandani ni zero wenyewe ni vua nichomeke kwa mnaofahamu mtaungana nami.note;sio wote ila asilimia kubwa wapo hivo.

Wengi wao ni washikishwaji ukuta.
 
Unasema uzuri pesa huku unasema kitandani zero, ww mwenyewe hujui nn unahitaji kwa wakati gani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom