lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,484
Ninamaanisha wanaume au wavulana wapole, watulivu, wakimya ,wasio na mbwembwe, wasio na makuu huwa hawakubaliki sana na wanawake au wasichana. Inadhaniwa wasichana au wanawake wengi huwapenda wanaume micharuko,wenye kupenda madem wengi, wenyekupenda kuonekana, mbwembwe na wapenda umaarufu.Je kuna ukweli ktk hili?
Binafsi yangu napenda mwanaume mpole yan sifa zote ulizozitaja ndo type ya mwanaume ninayempenda ila asiwe mpole too much
Inategemea ntu na ntu...wengine tusikujue kuwa ni player...
mi mbona mpole, njoo kwangu