Wanaume wapole hawana bahati

Wanaume wapole hawana bahati

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,481
Ninamaanisha wanaume au wavulana wapole, watulivu, wakimya, wasio na mbwembwe, wasio na makuu huwa hawakubaliki sana na wanawake au wasichana.

Inadhaniwa wasichana au wanawake wengi huwapenda wanaume micharuko, wenye kupenda mademu wengi, wenye kupenda kuonekana, mbwembwe na wapenda umaarufu.

Je kuna ukweli katika hili?
 
...mwanaume anayeishi kwa kubahatisha hana malengo,dira wala muelekeo na hafai kwa jamii...
 
Inategemea ntu na ntu...wengine tusikujue kuwa ni player...
 
Mie napenda mtu mpole tena aww mtulivu na asiyekuwa na mbwembwe kabisaaa
 
Binafsi yangu napenda mwanaume mpole yan sifa zote ulizozitaja ndo type ya mwanaume ninayempenda ila asiwe mpole too much
 
Ninamaanisha wanaume au wavulana wapole, watulivu, wakimya ,wasio na mbwembwe, wasio na makuu huwa hawakubaliki sana na wanawake au wasichana. Inadhaniwa wasichana au wanawake wengi huwapenda wanaume micharuko,wenye kupenda madem wengi, wenyekupenda kuonekana, mbwembwe na wapenda umaarufu.Je kuna ukweli ktk hili?

Nimeipenda saana hii, U are more than right.
 
si unaona hata hapa hatuonekani..ila wenye misifa ndo watu dah..cc georgeusmimi
 
ni kweli si wapole hatunaga bahat kabisa!
 
Back
Top Bottom