Wanaume wapo makini na jasho lao

Uanzaje kusachii:what: unanyata unanyata unageuka kulia alafu kushoto alafu kulia tena then unanyakua porochi kama ni suruale unageuza juu chini then unakung'uta ovaa. umeelewa sasa jinsi ya kusachi?:sly:

Hahahah darasa lako kila mwafunz lazma apate A duuuuh!!! Umetisha sanaa
 
Kuiba ni mbaya sana mimi nikikukuta utanijibu mengi sana, usipoangalia unaenda polisi
 
Kuna wadada wana dhiki had basi....
Asa hapo ukute hela yenyewe alokuwa anaiibia haizid haya elfu thelathin.... Mwe!! Poor her!!
 
Hivi sisi nani anatulipa lakini kwa kuwahudumia? Hii dunia haiko FEA.

dunia iko fear kama utapata material hubby or woman kwa maana hautamhudumia milele mtakuwa mnagawana majukumu
katika mapenzi ili uone raha lazima utoe ili upokee,
usipopanda upendo na uaminifu huwezi kufika
 

mimi mkuu mwaka jana nilipata kisa kama hicho...nilikaribisha mpenzi wangu nyumbani kwangu kwakua ilikua ni muda mrefu hatujaonana yeye alikua anasoma chuo kimoja moshi.Basi tukafanya mawasiliano nika acha funguo za ghetto kwa jirani ili yeye akifika apewe funguo na kuingia ndani ili jioni nikirudi nimkute...basi bhana jioni narudi...nikakuta chumba cheupe laptop zangu zimechukuliwa....digital camera imechukuliwa...nikapiga simu ikawa haipatikani...ila nikatuma msg...baadae usiku nikaona delivery report...kupiga simu nikapewa ultimum eti nimtumie pesa...

bahati nzuri nilikua nafamiana na rafiki yake ambae alinipa contact za home kwao moshi..ilibidi nichukue likizo ya ghafla kwenda hadi moshi kwao..kumfatilia...inshort nilichukua laptop zangu...na nikala mzigo vya kutosha.....baada ya zoezi eti akaanza kuomba msamaha..huku akidondosha chozi....nikamjibu...hiyo haiwezekani....maji yakiisha mwagika hayazoleki...nikamwachia elfu kumi na tano....nikaondoka zangu....tangu siku hiyo....nasumbuliwa na msg kutoka kwake za pliz forgive me....mara mambo...Kimsingi mkuu wanawake wa design hiyo huwa unakula mzigo....na kumuachia pesa uliyombamba nayo wakati akichomoa wallet....hiyo inakua enough "saikological" torture kwao...wala hakuna haja ya kumzaba kibao...
 
You are a little tiger, Aren't you?

You know the trick.
dunia iko fear kama utapata material hubby or woman kwa maana hautamhudumia milele mtakuwa mnagawana majukumu
katika mapenzi ili uone raha lazima utoe ili upokee,
usipopanda upendo na uaminifu huwezi kufika
 
This is too much!huyo dada hana aibu
 
Uanzaje kusachii:what: unanyata unanyata unageuka kulia alafu kushoto alafu kulia tena then unanyakua porochi kama ni suruale unageuza juu chini then unakung'uta ovaa. umeelewa sasa jinsi ya kusachi?:sly:

Hahahaahaaaa
 
...mmmmh, kwani wahitaji kutoa hizo huduma?
neddy bhana, kwani hujaanza kuzitoa? Ama wachagua huduma za kumpa?teeeeh!!

hahaha nampa basic needs tu nyingine mpaka aoe lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…