cathy14
Member
- Apr 11, 2014
- 37
- 23
Jamani wasichana wenzangu punguzeni kusachi na kuwaibia wenzi wenu hela kwenye wallet na mifuko ya suruali!
Shost angu ananiomba ushauri nawakati kalikoroga mwenyewe hata cha kumshauri nimekosa, MTU wake kambamba akichomoa hela kwenye wallet yake baada ya hapo jamaa katoa kibuti akisema amemvumilia amechoka.
Mmmh kazi ipo uaminifu zero na tamaaa ya pesa jamani, turidhike na kile tupewacho hata kama unasema mwenzio hafatilia lakini hakuna watu walio makini kama wanaume!