Hahahahhahahahaaa umenikumbusha watoto flani hivi miaka ile Tabora. Walikuja likizo na wazazi wao sasa asubuhi babu yao akawa anawasalimia kinyamwezi.
Ulimpolaa!!?
Hap watoto wakawa hawajui cha kujibu, knobs wapo akasema nilimpora lakini nilimrudishia....Aaahahahahhahahahaahhaahahah huku akiwa na sura ya hofu. Aaahahahahhahahahaahhaahahah