Wanaume wangapi mmeelewa hii??

Kwa sie kina mama wanasema ukiweza kutengeneza kishimo ukiwa umechuchumaa (kwenye mchanga) bado hujazeeka, ila kama ndo wakati ushakupita hehehehee basi ukinyanyuka hapo hadi miguu imelowa hahahhaaaaa.
We bibi ni kiboko aisee
 
Mwisho unamalizia vitone vilivobaki na kulirudisha dudu ndani.

Hayo maneno niliyo bold yameniletea mhemko wa hali ya juu.... maana nimepata picha kabisaaa........

Uuuuwiiiiii....... masikini akapuchu yangu....
 
Aise
 
Urine trajectory. Kama una uhaba wa voltage,lazima kuwe na shida wakati wa kufanya projection
 
Hayo maneno niliyo bold yameniletea mhemko wa hali ya juu.... maana nimepata picha kabisaaa........

Uuuuwiiiiii....... masikini akapuchu yangu....
Tatizo unapenda dudu sana
 
Kwahyo boys wasioelewa tuwaiteje mkuu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…