Wanaume wangapi mmeelewa hii??


Yaani unaweza kususu huku umesimama kama ng'ombe vile.
 
Tufafanulie ili tufatilie watt wetu wa kiume na tuwachungulie waume zetu
 
Kha!
 
Tafsiri yako sio sahihi dada
 
Hio haijalishi umri.... Picha hio tafsiri yake ni pale unapoanza kukojoa kinetic energy ya mkojo kubwa na inapungua kadri muda unavyokwenda. Ukianza matone matone unakaza misuli kusukuma ule unaobakia ..huu unatoka kwa spidi kama ulivyoanza ndo maana unaona kwenye picha baada ya matone kuna mkojo mrefu . Huo ukishatoka unarudi kumalizia matone yako.
NB; Ni mwanaume tu ndo ataelewa hio mechanism. Mwanamke yoyote asijifanye kaelewa
 

Uzee hauna tiba!
 
Asantee...wewe tumeelewana
 
Hii ama unaweza ukawa unaelezea umri wako mwanamme akiwa mdogo. Anapotaka kwenda haja ndogo uwezo wa mkojo kufika zaidi ya futi mbili na zaidi lkn kadri umri unavyokuwa mkubwa uwezo huo unatoweka. Lkn pia unaweza ukawa unaelezea ugonjwa wa tezi dume
Wala sivyo, hii picha haizungumzii umri jamani..

Kinachozungumziwa hapa ni pale unapoenda kukojoa mwanzo mkojo unatoka kwa kasi kadri unavoendelea kasi inashuka baada ya hapo ukijikwinya unaruka kwa kasi tena.. Mwisho unamalizia vitone vilivobaki na kulirudisha dudu ndani.

'Only Boys will understand' haipo hapo kimakosa,.
 
We umeelewa sanaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…