Wanaume wanene tunanyanyasika sana

Kuna jamaa bonge mwenzangu alianza mazoezi, akajinyima kula, akanunua madawa ya C9, akawa analipia Gym elfu 60 kwa mwezi na kuhudhuria kila siku.
Baada ya mwaka kilo ziliongezeka kutoka 105 hadi 119.
Kuna miili mingine ni ya kurithi. Kama imo imo tu.
 
Nimecheka sana eti mnawekwa kwenye makopo ya maziwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna jamaa bonge mwenzangu alianza mazoezi, akajinyima kula, akanunua madawa ya C9, akawa analipia Gym elfu 60 kwa mwezi na kuhudhuria kila siku.
Baada ya mwaka kilo ziliongezeka kutoka 105 hadi 119.
Kuna miili mingine ni ya kurithi. Kama imo imo tu.

Alikuwa bado anakula huyo kinachonenepesha ni kula hakuna kitu kingine mabonge yanapenda kula mnoo
 
Kama mimi mikiwatongoza wananiita mzee
 
pia mnakula sana, yani bonge akikutangullia kwenye bufee umekwisha.
utaambulia salad peke yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…