Wanaume wanavaa nguo za dada zao, inaudhi

Wanaume wanavaa nguo za dada zao, inaudhi

Kuna jamaa nilisoma kule celebrities alisema alimwona msanii fulani wa kiume amevaa kipedo, huku chini kukaongezeka urefu na unene ghafla kana kwamba amemwona msichana mzuri aliyejaaliwa.
 
Mkorogo kwa mtoto wa kiume!

Hapa huwa nachoka kabisa
 
Neno swagga maana yake shoga, sasa hapo we usitake kujua sana, .......ukiona manyoya?......
 
Yani hata lakusema sina sasa wakija juu kuna blauzi kabisa ya kike kisa ina sisgner Versace kama sijakosea jina hata Diamon alilivaa no gauni kabisa lipo magotini.its a shame

signature yako inanikwaza....samahani lakini mkubwa.
 
Sijui nianze na tusi au nianze kwakuwachapa bakora?
Sio siri ipo ukingoni sasa najua ni vigumu kuamini ila inabidi tujitahidi kuamini kunamitindo mipya ya pamba imetoka siku hizi haki ya Mungu wanaume tunakoelekea tutavaa hadi madera.
eti wenyewe wanaita new swagg yaani mwaume mzima na kengere zake anavaa suti ya kitenge ukimuuliza anakwambia anaenda na wakati sasa huku ni kwenda na wakati au kwenda kwenye ushoga bila kujijua yaani nyumbani dadaako kavaa kitenge/mamaako kitenge na wewe mtoto wa kiume unavaa kitenge.
Mkisimama wote utafikili wanenguaji wa bendi ya twanga pepeta, Pumbavu mnatudhalilisha wanaume wenzenu, basi vaani hata bikini tu.
NAMALIZA NA DADA ZETU.
Kama fasheni dada zetu zitawatokea puani siku izi kunawadada hasa hasa watoto wa vyuo vikuu wenyewe wanajiita wasomi, wanavaa nguo nyepesi mchana kweupe chupi Zinajichora kama ramani ya Dunia Hlafu wakipita barabarani wanavyo jibinua utafikiri fuso imekosa
muelekeo, Anza kukemea sasa utawasaudia wengine hata kizazi chako.

Kwahiyo unataka kuniambia hawa ni wanawake???? Acha ushamba.

th
th
th
th
th
th


Kama tatizo ni mfanano wa rangi kwa nguo za wanawake na wanaume basi wamasai wa kiume ni wanawake.

Anayekataa asili ni mshenzi hii ndio asili ya muafrika na hakuna kitambaa cha suti ya mwanaume na mwanamke so uwe unatumia akili kupost.
 
Kweli hii thread kiboko,wewe uliyeileta na wachangiaji mmenivunja mbavu kabisaaaaa!!Kama mtu ulikuwa na stress zako zitapotea kiujumla.Hivi kweli WATU8 mleta uzi alikaa chini na kuwazua ki-mapana kweli????Kazi kweli kweli.:A S 109:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom