Wanaume wanatega pia (trap)

Wanaume wanatega pia (trap)

Ukiwa na akili mbovu hata bila mtego utanasa tu
Ukifikiria, hii inahusu wanandoa pia. Utasikia vijijini wanawake wanazalishwa utitiri wa watoto ili wasinyemelewe na mwanamme mwenzao.
 
Kuna ile wanasema dawa ya manzi pini afu anaringa ni kumtia mimba tu. MaBaharia nadhani wamenielewa au Niongeze sauti
 
Kuna ile wanasema dawa ya manzi pini afu anaringa ni kumtia mimba tu. MaBaharia nadhani wamenielewa au Niongeze sauti

Wow ningependa kujua Zaidi, mkiwatia mimba upendo unaongezeka au ndo basi Kazi imekamilika , on to the next?
 
Back
Top Bottom