HoneyBee
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 912
- 864
Hii nimetoa forum nyingine na kutafsiri kwa uwezo wangu (I'm not a professional sorry).
Tunasikiaga wanaume wakasema kuwa wanawake wanawateshea ili washike mimba. Jambo ambalo lina ukweli, lakini tusichokiongelea ni kuwa wanaume pia wana hii tabia.
Sababu kadhaa:
1. Kutaka kuendeleza uhusiano ambao huenda ulikuwa unaelekea kuisha ( to prolong a relationship)
2. Kulazimisha ndoa (force marriage). Nyuzi nyingi sana humu ushauri ni "wazazi wakikataa,jaza mimba!"
3. Kumharibia mwanamke mwenendo wa kazi na kumfanya amtegemee mwanamme kwa vyote (Sabotage her career and financial goals and trajectory)
4. Anataka kuonekana ni mwanamme rijali kwa kujaza wanawake mimba za hovyo (He thinks having a baby mamma or baby mammas makes him seem masculine and hypersexual)
5. Anataka kummiliki mwanamke, hata kama hatakuja kuwa mke wake anajua wanaume hawatamchukulia serious kama wife material kama alishazalishwa na mwanamme mwinginge (He wants to sabotage the womans dating options--- all things equal a childfree women or man is more attractive on the dating market)
6. Kumcontrol mwanamke. Ukishare mtoto na unatoa matumizi kwa ajili ya mtoto, unaweza kuendelea kumtawala mwanamke uliemzalisha mpaka mtoto akikua (minimum miaka 18)
7. Kwasababu ameshakuzalisha atataka uwezo wa kuja kwako kukumbushia, kata kama hampo pamoja, aidha alishaoa au anaendelea ku-date, lakini sababu mna mtoto anafikiri ataweza kurudi kwako kukumbushia any time haja ikija (He thinks you will be more desperate and available for sex. He thinks you will permanently be in his sex roster.)
Ushauri kwa wadada wenzangu, ukiona mwenzako ana dalili za kutaka kukuzalisha, bila hata kuongelea mambo ya ndoa, kumbuka point hapo juu. Fanya juu chini kuhakikisha unajiprotect, hao ndo wale wa kukataa condom. Ikibidi , tumia vidonge au aina nyingine ya uzazi wa mpango hata kama ni kisirisiri.
Lakini kama inabidi kutumia kisirisiri then hiyo ni ishara kuwa he is not the one.
Stay safe ladies.
Happy Sunday 😉
Source: https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC3282154/