Tena hawa wenyw shule za kuunga ni hatari. Wakishamaliza hizo shule dharau kwa waliowawezesha zinazidi. Wakati mwingine kumuwezesha mwanamke ni kujitengenezea bomu. Wengine inabidu wabaki chini ndo wanakuwa binadamu la sivyo ni kama wanyama.Kipendacho roho. Ushawahi kukutana na mwanamke alijiendeleza alivyo na tambo?!! Hata kama shule yenyewe ilikuwa ya kuunga unga. Utajuta kumfahamu.
Mtu yuko 21 bado unamuita mtoto? Tatizo la wanawake mnajisahau sana, ukiishaitwa mke unafikiri umefika wewe ndo wa mwisho.Lakin si kuoa katoto ulikokalea kama mwanao
Mimi nauliza tu.
Kwa nini hawa mabinti(house girl) wa kulea huwa wananawiri na kupendeza sana ikifika muda fulani hadi kuleta vurugu hizi?
Tukitambua chanzo na tatizo tutalipatia ufumbuzi.
Hivi wanaume lini mtaacha kuwalaumu wanawake kwa makosa mnayofanya wenyewe kwa makusudi kabisa?Mtu yuko 21 bado unamuita mtoto? Tatizo la wanawake mnajisahau sana, ukiishaitwa mke unafikiri umefika wewe ndo wa mwisho.
Ndo tulivyoumbwa hivyo, kichwa kidogo kinaonea wivu kichwa kikubwa. Kikubwa kikila na kushiba lazima kidogo nacho kidai kula. Imagine mke is not reachable kwa miezi halafu yupo house girl mbichi bado pua yake inavuja jasho, ungekuwa wewe ungefanyaje?Hivi wanaume lini mtaacha kuwalaumu wanawake kwa makosa mnayofanya wenyewe kwa makusudi kabisa?
Nikikubamba nakulazimisha umgegede hausi gelo kwa takribani masaa 5 mfululizo nikishuhudia kwa masikio na macho yangu.Ndo tulivyoumbwa hivyo, kichwa kidogo kinaonea wivu kichwa kikubwa. Kikubwa kikila na kushiba lazima kidogo nacho kidai kula. Imagine mke is not reachable kwa miezi halafu yupo house girl mbichi bado pua yake inavuja jasho, ungekuwa wewe ungefanyaje?
Nyapu nyapu tu. haina umri ili mrad si ndugu yako na hujavunja sheria za nchi.Lakin si kuoa katoto ulikokalea kama mwanao
Sasa huo utakuwa uchokozi..! Ukikuta hivyo usiwe na papara vinginevyo utaachika wewe unamuacha binti anafaidi.Nikikubamba nakulazimisha umgegede hausi gelo kwa takribani masaa 5 mfululizo nikishuhudia kwa masikio na macho yangu.
Ahaa ila roho inauma balaa, you know we are too emotional.Sasa huo utakuwa uchokozi..! Ukikuta hivyo usiwe na papara vinginevyo utaachika wewe unamuacha binti anafaidi.
Mkuu,hii story najua inaweza kuwa inakuhusu ww au jirani yko au rack yako...,kutokana na maelezo yako ni kwamba tukio lilitokea baada ya mama mwenye nyumba kwenda masomoniUko kwenye ndoa mwaka wa tisa huu. Mke wako ulimuoa alipomaliza form four na kubahatika kupata watoto wawili. Kwa msisitizo wako mke amekwenda chuo na kumwacha mtoto mdogo akiwa na miaka miwili.
Kwa msaada wa mama mkwe, mmepata kabinti kamemaliza darasa la saba anatafuta kazi. Kwakuwa una shida ya mlezi wa watoto umeamua kumchukua na umekubali kuwa shughuli nyingi unafanya mwenyewe ukitoka kazini au weekends, yeye alee watoto tu.
Mwaka wa saba huu binti anapendeza . Mkeo ni mwajiriwa sasa baada ya kupata diploma. Binti huyu anakuangalia kama baba yake kwani umemlea .
Usivyo na haya unamtongoza kwa ahadi ya kuwajengea wazazi wake nyumba. Akifikiria hali ya kwao anakubali mnaanza mchezo. Mara binti ana mimba.
Mke wako anataka kumrudisha kwao , kidume unafanya jitihada zote kumpangishia chumba mjini. Anazaliwa mtoto wa kiume. Kwakuwa una two girls njia kuu, unachanganyikiwa na nyumbani unapotea siku mbili hujali kupishana vikumbo chooni kwenye shared house.
Wanaume kweli mnayaweza.
Kweli omba Mungu yasikukute maana unaweza jiapiza utafanya hivi au vile kisha likakutokea kweli ukashindwa fanya loloteAsee haya mambo ni kuomba Mungu ayaepushe,mi sijui nitamfanyaje huyo mwanamke!
We utakuwa DJNichagulie kimoja kabisaaaa
?????????akupe nafasi ipi TY??Nakupenda sana Sky Eclat....nipe nafasi ..plzz.
ha ha haaa,utaelewa tu?????????akupe nafasi ipi TY??
nieleweshe basiha ha haaa,utaelewa tu