Wanaume wanaposhikwa na tamaa

Wanayaweza kweli kweli,mi ndio maana haya masuala ya wadada wa kazi nitajitahidi(sijui kama nitaweza lakini) kutomueka kwangu..ntapambana na kazi zangu na mume wangu tu

Mwanaume sio wa kumuamini sana asee
Haitasaidia sana dada, anaweza kupiga beki tatu wa jirani yenu aibu ikawa palepale. La msingi mtuombee tu maana si kwa vishawishi hivi.
 
Kilichipo wewe kama mwanamke unatakiwa kujiamini tuu,kwani hata usimleta house girl nyumbani nikitaka kuchepuka nachepuka tuu.
Kuchepuka mbona tunafahamu huwa mnachepuka,ila ni heri ukachepuke nje huko mbali kuliko kuchepuka na mdada aliye ndani kwangu
 
Hewaala mimi MC huyo mzee mwachie UDJ analewaga mapema lakini usishangae kwenye kukata keki akapiga

Kifoo kifooo [emoji445] [emoji445] [emoji444]
Hahahahahahhh kama namuona aseee!akati hata siwafahamu
 
Wanayaweza kweli kweli,mi ndio maana haya masuala ya wadada wa kazi nitajitahidi(sijui kama nitaweza lakini) kutomueka kwangu..ntapambana na kazi zangu na mume wangu tu

Mwanaume sio wa kumuamini sana asee
Jiamini ww
 
Sisi ni wakuaminika ila hayo mambo mengine ni ya asili hayaepukiki...jogoo mmoja anaweza tembeza kichapo kwa mitetea ya mtaa mzima...bado mtetea wa nyumbani ukaridhika na usionyeshe wivu...hiyo ni natural ya viumbe vya kiume so mtuzoee na kutuombea sana
 
Mnahitaji maombi kweli
 
ntaa aminije na wewe kama huko chuon huku banduliwa, au huko kazini hubanduliwi ?

are u women so perfect?

wanawake mna yaweza(kuficha siri zenu)
 
Wanayaweza kabsaaaa! Bas tu tumuachie Mungu!
 
Sisi ndo vidume bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…