Hembu fikiria katoto uliletewa kakiwa 14, amekuwa sasa yuko 21 anakuwa mke mwenza. Unaweza kuhitaji msaada wa kisaikolojiaWanayaweza kweli kweli,mi ndio maana haya masuala ya wadada wa kazi nitajitahidi(sijui kama nitaweza lakini) kutomueka kwangu..ntapambana na kazi zangu na mume wangu tu
Mwanaume sio wa kumuamini sana asee
Hembu fikiria katoto uliletewa kakiwa 14, amekuwa watoto saa yuko 21 anakuwa mke mewnza. Unaweza kuhitaji msaada wa kisaikolojia
Mna jua kuyakoroga sasa hapo lengo la kumsomesha wife ilikuwa ni msaidiane kupambana na maisha sasa umeweka ndani goal keeperSky Eclat jaribu kuwa mwanaume hata kwa mwenzi mmoja tu utaona jinsi gani ilivyo ngumu..... Kuwa ni mwanume ni Challenge kwahiyo usione kama ny*ege zinatuzidia au lah.... Ni changamoto...
Mna jua kuyakoroga sasa hapo lengo la kumsomesha wife ilikuwa ni msaidiane kupambana na maisha sasa umeweka ndani goal keeper
Lakin si kuoa katoto ulikokalea kama mwanaoMfalme Suleiman alikuwa na wanawake buku (1000) na michepuko juu lakini wake zake wala hawakuleta noma yoyote walimkubalia kiroho safi.
Na bado Mungu akampa hekima za kutosha.
Bado naendelea kufanyia utafiti hii kauli..." Mke Mmoja Hudumaza Akili"
Ha, haa, haaaaa unaogopa atakuja jipia dudu ulilokuwa unalitumikia?Lakin si kuoa katoto ulikokalea kama mwanao
Kipendacho roho. Ushawahi kukutana na mwanamke alijiendeleza alivyo na tambo?!! Hata kama shule yenyewe ilikuwa ya kuunga unga. Utajuta kumfahamu.Uko kwenye ndoa mwaka wa tisa huu. Mke wako ulimuoa alipomaliza form four na kubahatika kupata watoto wawili. Kwa msisizo wako mke amekwenda chuo na kumwacha mtoto mdogo akiwa na miaka miwili.
Kwa msaada wa mama mkwe, mmepata kabinti kamemaliza darasa la saba anatafuta kazi. Kwakuwa una shida ya mlezi wa watoto umeamua kumchukua na umekubali kuwa shughuli nyingi unafanya mwenyewe ukitoka kazinicau weekends, yeye alee watoto tu.
Mwaka wa saba huu binti anapendeza . Mkeo ni mwajiriwa sasa baada ya kupata diploma. Binti huyu anakuangalia kama baba yake kwani umemlea .
Usivyo na haya unamtongoza kwa ahadi ya kuwajengea wazazi wake nyumba. Akifikiria hali ya kwao anakubali mnaanza mchezo. Mara binti ana mimba.
Mke wako anataka kumrudisha kwao , kidume unafanya jitihada zote kumpangishia chumba mjini. Anazaliwa mtoto va kiume. Kwakuwa una two girls njia kuu, unachanyikiwa na nyumbani unapotea siku mbili hujali kupishana vikumbo chooni kwenye shared house.
Wanaume kweli mnayaweza.
Utayaweza mwenyewe majukumuWanayaweza kweli kweli,mi ndio maana haya masuala ya wadada wa kazi nitajitahidi(sijui kama nitaweza lakini) kutomueka kwangu..ntapambana na kazi zangu na mume wangu tu
Mwanaume sio wa kumuamini sana asee