Wanaume wanapenda hili bila kujua

karibu sana
ni somo liko deep
wengi hawaelewi
mfano ni rahisi ku sex na mwanamke kama
yai lake limekaa 'penyewe'
hata kama mwanamke huyo alishakuambia sikutaki

I hope unazungumzia effect ya oestrogen during ovulation japo biology niliiacha O level.
 
This is very true scientifically. Natamani nielezee sana lakini take this one. Kuna kitu kinaitwa Waist to Hips Ratio (WRH). Hiki ni kipimo cha uwiano wa kiuno na nyonga. Wanaume wengi wanapenda wanawake wenye Uwiano wa 0.7. Kibinadamu wanaonekana vizuri i.e not too much, not too less. In biology, these women tend to be more fertile kuliko wengine. So evolution has somehow made men view women that have this ratio more beautiful than the rest, when all there is, is a more fertile women. Hii haimanishi wengine hawawezi kuzaa, ila ukiwekewa picha ya WRH ya 0.7 ya viuno vya uwiano mwingine, uwezekano wa wewe kuchagua 0.7 ni mkubwa zaidi.
 
Ufafanuzi mzuri.
Nadhani waungwana watazidi kuelewa kinachozungumziwa hapa.
Asante.
 
Mm najua huongeza hisia za kusex tuu ndo maana wengi wa wanaume apitapo demu mwenye hipsi ni sawa na samaki kumzungushia samaki atageuza shingo tuu
 
Back
Top Bottom