mtani na we ni mume wa mtu!??
nakuona umenyut tu hapo unatetewa!
kweli kuna mume ambaye hajawahi kutoka nje ya ndoa kabisa?!!! hata wa hum ndani watakaa ila moyoni nwao nafsi zina wasunta.
Najua, nitarushiwa kijembe kuwa nawapendelea wananwake! Any way, na mimi pia ni mwanamke! Nafikiri katika mambo yanamuuma mke, ni mume kutoka nje ya ndoa! Hata hawa watu wafanyweje jamani! Kama hawajaridhika si waache wasioe kwanza?Pamoja na hayo, nifikishe hongera zangu kwa good and committed husbands, ambao ni waaminifu kwa wake zao, keep it up!
Mi sijaoa ila nachukia wake za watu wanao toa tigo kwa serengeti boys.
Let me share some few observations on this topic:-Najua, nitarushiwa kijembe kuwa nawapendelea wananwake! Any way, na mimi pia ni mwanamke! Nafikiri katika mambo yanamuuma mke, ni mume kutoka nje ya ndoa! Hata hawa watu wafanyweje jamani! Kama hawajaridhika si waache wasioe kwanza?Pamoja na hayo, nifikishe hongera zangu kwa good and committed husbands, ambao ni waaminifu kwa wake zao, keep it up!
Khaaaaaaaaaaaaaaaaa!!wanawake wanaogawa tigo nje ya ndoa je?
Saa ingine tuwapumzishe hao waume za watu.
Nowdays mambo yamechange sana
Nimekumisi sana, nifanyeje?mtani na we ni mume wa mtu!??
nakuona umenyut tu hapo unatetewa!
Wanatuonea bure my love, hawajui it takes two to tango.vp wewe kwani imekutach?
Mi naboreka kuwasingizia waume za watu
mtamu lakini hakuna raha kama unapokuwa na mwanaume ambaye una uhuru naye na hata mkienda sehem una amani. huyo mume wa mtu mkiwa chumbani mlango ukigongwa kdg tu lazma kijasho kiwatoke... yan kila siku we unakuwa mtu wa kutembea na hofu ya kifumaniwa....Kwanini wathink negatively all the time?raha ya mapenzi umpate wa kupendana naye,haijalishi ni mume ama mke wa mtu,ukimwi wapatikana kwa njia kibao ukiput aside ngono,mume wa mtu mtamu xana jaribu uone
mzima?
mimi mume wa mtu pia..
so nashkuru ukitutetea..
Wanatuonea bure my love, hawajui it takes two to tango.
BTW hebu nisaidie kuwauliza...... hao waume za watu wanafanya ngono na mbuzi?
Mi nakasirikaga mimi.....
Haya niamkie.....:A S kiss:
mimi je!hujapata salamu zangu??Nimekumisi sana, nifanyeje?
Duh! Hata wewe unanitusi? Nlikuwa najua we ni shahidi yangu, LOLkwani wewe una mke?
Namsikitikia kwa kweli ulivyowapanga
Najua, nitarushiwa kijembe kuwa nawapendelea wananwake! Any way, na mimi pia ni mwanamke! Nafikiri katika mambo yanamuuma mke, ni mume kutoka nje ya ndoa! Hata hawa watu wafanyweje jamani! Kama hawajaridhika si waache wasioe kwanza?Pamoja na hayo, nifikishe hongera zangu kwa good and committed husbands, ambao ni waaminifu kwa wake zao, keep it up!
Khaaaaaaaaaaaaaaa!! Ushanifanya basha???mimi je!hujapata salamu zangu??
hakyamama sitaki kuamini!
umehujumiwa!
tena na mume wa mtu!