Acha ubinafsi wewe wanaume wenyewe wachache, wacha tugawane burudani afteral ni wetu sote
Kwa hesabu ndogo tu ni kwamba;Najua, nitarushiwa kijembe kuwa nawapendelea wananwake! Any way, na mimi pia ni mwanamke! Nafikiri katika mambo yanamuuma mke, ni mume kutoka nje ya ndoa! Hata hawa watu wafanyweje jamani! Kama hawajaridhika si waache wasioe kwanza?Pamoja na hayo, nifikishe hongera zangu kwa good and committed husbands, ambao ni waaminifu kwa wake zao, keep it up!
Nilitegemea utajiuliza hivi "kama huyu mtu kaamua kufunga pingu ya maisha, halafu akaingia katika maisha ya ndoa, kitu gani kinachotokea na kusababisha mtu atoke ndani ya ndoa?
Wakati mwingine mnaweza mkalaumu wanaume lakini chanzo kikawa mke.
Amini usiamini, Kuna watu wanaficha uhalisia wao,wakishaolewa ndiyo utawajua vizuri mkiwa ndani ya ndoa.
i dont flit outside my marriage nna sababu kuu moja! I lived to see my closest yaani very closest people toka wanaanza ku flirt mpaka wote wanakufa na UKIMWI takriban 3 baba wadogo! Washkaji wa kitaa. Iliniuma sana nikaweka vow kwamba nikioa sitaki kuwa chanzo cha misiba.
Najua, nitarushiwa kijembe kuwa nawapendelea wananwake! Any way, na mimi pia ni mwanamke! Nafikiri katika mambo yanamuuma mke, ni mume kutoka nje ya ndoa! Hata hawa watu wafanyweje jamani! Kama hawajaridhika si waache wasioe kwanza?Pamoja na hayo, nifikishe hongera zangu kwa good and committed husbands, ambao ni waaminifu kwa wake zao, keep it up!
Hakuna hata mmoja.
Bora ututetee dada wamezidi kutuonea.vp wewe kwani imekutach?
Mi naboreka kuwasingizia waume za watu
Wewe wasema.mie sijamaanisha hivyo.una maana na mwanamke naye akigundua pretence kwa mume naye atoke nje?
vipi kuhusu wanawake wanatoka nje?
una maana na mwanamke naye akigundua pretence kwa mume naye atoke nje?
una maana na mwanamke naye akigundua pretence kwa mume naye atoke nje?
big up! I wish kama wanaume wote na wanawake wote walioko kwenye ndoa wangekuwa na mtazamo kama wako basi maambukizi yangepungua kwa kiasi kikubwa! Watoto wa mitaani wangepungua! Kila kitu kingeenda safi! Kama hiyo ndo kaulimbiu yako mungu akuwezeshe na akubariki! Zaidi akupiganie usijeanguka maana naamini shetani atakuwa akikunyemelea sana!