Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,213
- 4,192
Kimsingi sio kununa,huwezi kukwazika ukaanza maneno ya kujibizana na mwanamke wengine hatuwezi ila tunachukua njia ya kukaa kimya kuepusha shari maana maneno yakiwa mengi kifuatacho ni majeraha ya damu so bora kukaa kimya hadi hasira zikiisha ndio mambo mengine yaendelee.Mwanaume mwingine anathibiiti hasira kwa kununa laa sivyo anaweza kuchukua nondo akakupiga nayo kichwani. Shukuru Mungu.
Unatoa tope mdada??
👍👍Nunaring for no reason is called GUBU
Kununanuna ni UBOYA na KUTOJIAMINI TU...Unakuta jitu zima kabisa na limesoma ila linanuna. Utakuta ananunia mpaka wanaume wenzake
🤣🤣Kwani ni mimi peke yangu?? Madada wengi tu sasa hivi - enjoyable
🤣Kwahiyo yeye alikuwa ananuna weekend tu?
🤣Hata mimi week end huwaga nanuna balaa kwani sijui wanawake ukiwachekea tuu week end utabebishwa na savanna na makange
🤣Hata mimi ningenuna imagine demu analazimisha kwa Mpalange
Wengi wamejazana huko chama twawala.Kuna baadhi ya miwanaume inayopenda kununa inakera sana.
Nilikuwa na boyfriend wangu yani kila ikifika Ijumaa lazima litafute sababu ya kugombana ili linune weekend yote. Unakuta wewe mwenyewe unataka mpalange lenyewe limenuna.
Na nimefanya utafiti wangu nimegundua wanaume wengi wa aina hii huwa hawawezi hata kuishi kwenye maisha ya ndoa.
Acheni kununanuna ovyo wababa
🤣[emoji3][emoji3][emoji3] kwa mpalange sio kabisa
Sawa....Kwani ni mimi peke yangu?? Madada wengi tu sasa hivi - enjoyable
Aisee [emoji848][emoji16][emoji16][emoji16]Kwani ni mimi peke yangu?? Madada wengi tu sasa hivi - enjoyable
Yaweza kuwa anashiba vitumbua fresh kabisa ila analazimishwa na mboga za majani(kisamvu)Inshu siyo kununa shida ni sababu hakuna mwanaume anayenuna ila tu anatafuta sababu ya kukuacha kwa sababu amechoshwa na tabia yako maana hata angesemaje huwezi kutii yawezekana mpalange hataki lkn wewe ni kulazimisha tu
Vibomu pia weekend ni kuvuna tu ATM yake lzm atafute namna ya kujinunisha tu ili asitafutwe hahahaha
Mimi nafikir ivyo vinavyonuna ni vivulana sio mijanaume lijali any way kaa nae umuulize kwa nn ananuna nuna ovyoo
Aisee🤔😁Tope lenye raha