Wanaume wanaopenda kununa

eti kila weekend ananuna, pole sana
 
mwanaume ni mwanaume tuu chamsingi anadindisha huyo ni mwanaume dadeq
 
Jibu ni moja tu hapo, kajamaa kalilikuwa hakakupendi kamekuchoka.

Wanaume tuna mbinu nyingi za kumkwepa demu ambae hatumtaki.

Lakini sija support kununa, tena ni mwanaume wa hovyo kabisa huyo! Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khaaa, wewe ni Ke au Me, tuanzie hapo kwanza!!?
 
Dah, basi Mkuu wewe hukukutana tu na mwanamke aliyefundwa, utakuwa ulikutana na Kungwi mwenyewe
Ni mchanganyiko wa experience, Tanga, Mtwara, Zanzibar, Bukoba, Rwanda, Burundi, Burkinafaso, Congo, India, hadi Uchina. Kifupi umri umenipeleka mbali sana kwenye hayo mambo.
 
Yaani amesusia kwa mpalange...

Huyo bure kabisaa!...
Wanaume hatususiii vpozeo...
 
Naunga mkono hoja,

Mi mwnyw enz za ujana nliwahi kufanya ivyo sana kwa mwanamke nsiempenda.

Ni kununa TU,
ili upate kisingizio Cha kutulia na wako wa moyoni bila bughudha

TATIZO MTOA MADA HAJATUJUA WANAUME TULIVYO
Hahaha yeye mtoa mada alikua mchezaji wa sub tu ikitokea jamaa kamkosa ampendae kwa sababu za hapa na pale basi alikua anapoza injini kwake
 
Mwanaume hutakiwi kununa, amekuudhi/kukosea mkalishe chini mwambie sipendi hili sipendi lile. Sio mbaba na mijidevu yako unavuta vuta mdomo, sasa sijui Junior afanyaje.
 
Well, wanawake hamuwaelewi wanaume. Embu Siku kanuna mfuatilie anafanya nn siku nzima? Kama upo nae hapo nyumbani na kakununia basi huyo hana tabia za mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…