Wanaume wanaooa wake wanne ni "danger"

Kuchapiwa ni siri yandani ata wahenga walisha sema kuchapiwa ni siri ya ndani kwa kweli wengi wenu huwa amturidhishi kabisa Mimi uwezi nipiga kagoli kamoja lazima unipe show ya kibabe [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Unataka ufungwe 50-0 au??
 
Kuchapiwa ni siri yandani ata wahenga walisha sema kuchapiwa ni siri ya ndani kwa kweli wengi wenu huwa amturidhishi kabisa Mimi uwezi nipiga kagoli kamoja lazima unipe show ya kibabe [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Watu kama nyie mnakutana na makatapila kama sie[emoji39]
 
Kuchapiwa ni siri yandani ata wahenga walisha sema kuchapiwa ni siri ya ndani kwa kweli wengi wenu huwa amturidhishi kabisa Mimi uwezi nipiga kagoli kamoja lazima unipe show ya kibabe [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Kwahiyo mkipigwaga tugoli tumoja mnaona km mmelambishwa kipunje cha sukari ktk kijiko
 
Nishati una maanisha nini?
 
Sasa kuna mahusiano mengi, wanaume wengi wa siku hizi hata mke mmoja anamtoa nduki kitandani!Sasa nafikiria wanaume hawa wanaooa wanawake wanne hivi wanawezaje kuwahudumia wake zao wote shida zao za kimwili?

Hawa ni wanaume au maroboti?

Wacha kufikiri kingono tu...kwanza Kuoa wake wengi si jambo la lazima...ni hiari ya mtu na kuna mazingira yanayoruhusu kufanya hivyo. Nadhani wewe ni wa kutoka kule Rombo...nakunasihi achana na pombe zile za mataputapu zinazowafanya wanyaji wawe maboga!, ili kudumisha urijali wako.... vinginevyo utasaidiwa tu!
 
Sasa na yule mfalme Muswati wa Swaziland naye inakuwaje,mi nadhani kuna zamu nyingine anashika tu na kupita wanafaidi walinzi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…