Wanaume wanaooa au wanaopenda kuoa wanawake wa kijijini ndo waharibifu wakubwa

Wala sio mkurya.... Alaf Nia yangu sio azibuliwe masikio Nia yangu Ni asiteseke kwa ndoa yake
Basi kwa utaratibu huo utaendelea kumuonea sana huruma,na mwisho wa siku kuwa makini sana usije pewa zigo la kuharibu ndoa husika ukabaki njia panda ukijishangaa
 
Nipo safarini naelekea mbaya vijijini kutafuta Mke
Huu Uzi wako nauona kama taka taka tuu
 
Na huyu ametokea vijiji vya huko huko TANGA ila sio lushoto...... Kenyewe kanasema kalikua kanafanya kazi za ndani wazazi wake wakakaita ili kaje kaolewe
Basi huyo atakuwa bazazi, yaani watoto wa huko wanavyokuwaga watamu mnato anapata wapi nguvu za kumpiga Kofi! Au ana stress za maisha!
 
Ndo hivyo maana anatoka kupigwa huko analiaaa then anatoka nje anaongea anacheka.... Nikamwambia Kuna baadhi ya vitu usione aibu kusema sema usaidike yaan hata kumpelekea uyu mpuuz polic tuu huenda angeacha kumpiga..... Leo amesahau kuchoma dawa ya mbu.... Narudia Tena dawa ya mbu ile ya kuchoma sijui Ni sh Mia tano sijui mwanaume akampiga mpaka huku nilipo nikasikia kakisema ( huku kanalia) Aya naendaa then aka kaa kama dakika tano akatoka nje kufata mkaa kwenye jiko Kuna mtu akamuongelesha akajibu as if hamna baya lililo mpata huko ndani nika shindwa kumuita.....
Roho inaniumaa namuona Kama mdogo wangu kabisa
jinsi ya kumsaidia huyo mtoto japo ni km njia sio njema km ww ni me basi mtongoze afu baada ya hapo anaweza tii kila unachomwambia km vle kuwa taarifu ndg ze
 
Huyo binti akifa yameisha
Asipokufa mume ajiandae kwa kuwa atakua katengeneza nunda mwenye majeraha makubwa moyoni mwake and she can do anything to him
 
Wewe jirani weweeee may thunder strike you.... Shenzi kabisaaa.....

Ipo ivi hapa nnapokaa nna jirani yangu Ni mwanaume alioa mwezi uliopita zile ndoa za ramadhani zile... Sasa kilichonifanya nianzishe Uzi Ni jinsi anavo mtreat mkewe yaan sio sawa kabisa , kwanza binti wa watu ana miaka kumi na Tisa tuu kametolewa kijijini kuletwa mjini Kuja kuteseka kabinti kawatu kanapigwa na ndo kwanza ndoa Haina hata miezi mitatu.... Mwanaume Ni Malaya huyuuu kila nikirudi kutoka kwenye mizunguko yangu namfuma maeneo ya hatari ila najikausha tuu Leo nimeshindea kuvumilia kwakweli maana leo tena kampiga vibao mtoto wa watu kwa kosa la kijinga kabisa.....

Swali langu kwa wanaume wa huku jf wenye tabia Kama hi kwanini ukaoe mtoto wa watu mdogo anaesalimia kwa kupiga goti uje umtese???? SI Bora utafute gume gume za huku mjini tuuu.....

Wito kwa wazazi na wale wenye ndugu zao vijijin msiozeshe mabinti zenu wadogo kwa mwanaume ambae hajajuana nae yaan amekuja tuu kijijin kwa ajil ya kutaftiwa mke tuuu wanakuja kuteseka huku jamani...

Uyu msichana anapenda kajifunika funika kumbe anaficha alama za alipopigwa
Wewe mwanaume wewe naomba Mungu uwe tuu jf uje usome hapa ili angalau uache ujirekebishe
Nahisi una maumivu ya kuliwa na huyo bwana kisha kukuacha.
Huwa sishauri kabisa ndugu yangu kuoa mwanamke aliyezaliwa na kukulia mjini karibu wote huwa wanakuwa na wanaume nje ya ndoa.Hilo nimethibitisha mwenyewe kuwa ni rahisi sana kumla mke wa mtu ambaye amekulia mjini kuliko mkr wa mtu aliyetoka kijijini.
funzadume
GENTAMYCINE
Mshana Jr
 
Umeniita?
 
jinsi ya kumsaidia huyo mtoto japo ni km njia sio njema km ww ni me basi mtongoze afu baada ya hapo anaweza tii kila unachomwambia km vle kuwa taarifu ndg ze
Mimi sio me alafu pia hata Kama ningekua me sio sahihi kutongoza Bibi ya mtu
 
Nahisi una maumivu ya kuliwa na huyo bwana kisha kukuacha.
Huwa sishauri kabisa ndugu yangu kuoa mwanamke aliyezaliwa na kukulia mjini karibu wote huwa wanakuwa na wanaume nje ya ndoa.Hilo nimethibitisha mwenyewe kuwa ni rahisi sana kumla mke wa mtu ambaye amekulia mjini kuliko mkr wa mtu aliyetoka kijijini.
funzadume
GENTAMYCINE
Mshana Jr
Sijaliwa na huyu mwanaume na Wala sijawahi kuwa na mahusiano nae........ Waambie hao ndugu zako wasitese watoto wa watu
 
Ni wengi tu mbona. Mwingine yupo afande mmoja hivi naye kaoa kijiji cha Salong'we huko Magu Mwanza. Jamaa anapiga, kwanza jamaa mruka njia tu. Anakuja na kahaba hadi nyumbani. Mwishowe kabint kameamua kutoroka na kurud kwao kijijini.

Sababu ni kipondo na umalaya wa huyo mura

Usitake kufundisha Akina Mura na vitu vya ajabu ukome kabisa
 
Kama vipi
Na akome kumpiga mtoto wa watu....... Kamwambie ( Kama unamjua or umemjua)..... Binti wa watu mpole ana heshima ingawa bado ana vimambo vyake vya kitoto kwa sababu umri unamruhusu....
 
Miaka 19 ni mdogo sana.
Pengine hata mwanaume anaongea na vicheche wake mbele yake na hakafanyi kitu.
Huyo mwanaume angenioa mimi ningeshamkata naniii zake nichemshe supu. Nimechukia sana
Angekutana na wewe Concord
 
Back
Top Bottom