Wanaume wanaooa au wanaopenda kuoa wanawake wa kijijini ndo waharibifu wakubwa

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
39,606
2,000
Yaan sijui hata nimsaidiaje.... Nlimwambia awaambie nyumbani kwao akaniambia cm yake Haina ela nikampa ela akaweke vocha sijui hata Kama alisema......

Kenyewe kanasema nyumbani kwao wamemuambia ndoa Ni kuvumilia.... Aliniambia ivyo mtoto mwenzie ambao wanashinda wote..... Alaf Sasa saa zingine kanapigwa alaf kanatoka nje kanacheka na kuongea hata hakanuni jamani..... Nyie wanaume nyieee na nyinyi mtazaa tuu watoto wa kike
Nenda kituo kikubwa chochote cha polisi ulizia DAWATI LA JINSIA ndio kazi zao hizo.
 

Bhudagala

JF-Expert Member
Sep 17, 2014
289
250
Ni wengi tu mbona. Mwingine yupo afande mmoja hivi naye kaoa kijiji cha Salong'we huko Magu Mwanza. Jamaa anapiga, kwanza jamaa mruka njia tu. Anakuja na kahaba hadi nyumbani. Mwishowe kabint kameamua kutoroka na kurud kwao kijijini.

Sababu ni kipondo na umalaya wa huyo mura
 

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
15,639
2,000
Kuna falla mmoja alikuwa na hii tabia,siku moja nikamuita.

Nikamwambia arifu eh,siku moja nitakutandika nikupeleke mwenyewe polisi,hunishindi kabisa wewe.
Huyo mtu ana kwao,kama harekebishiki mrudishe.

Siku moja nikampanga binti akasepa,na jamaa akahama kabisa mtaa huo.
 

Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
50,573
2,000
Samahani Mkuu,
Kwani mtoto anaanza na miaka mingapi?
Mimi nasikiaga kwa watu wakisema kuwa ndoa ni maridhiano ya watu wawili. Vipi ulijaribu kufuatilia kabila la jirani yako? Maana kunakabila linaruhusu mwanamke kupigwa na kwa kufanya hivyo inadhihirisha upendo wa mume kwa mke wake. Au ni stress za kuolewa ndy zinapelekea baadhi ya watu kufuatilia maisha ya watu wengine?
Kumbe wameshakuja
 

feysher

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
2,696
2,000
Usisahau kurecord ushahidi maana unaweza kwenda kushtaki kwa kumsaidia huyo binti lkn akiitwa akakataa kwamba anapigwa kwa uwoga na familia za vijijini nyingi haziwaskilizi Ke kwaiyo hata akiwaambia ukute hawana msaada wowote,these monsters
 

kubwa_Lao

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
925
1,000
Dunia haina usawa kabisa:

Ni kawaida kwa mwanaume malaya, mlevi na muhuni kupitiliza kuozeshwa bint mwema na mwenye maadili yaliyotimia.....

Ila ni nadra sana kukuta kuwa:

Mwanamke malaya, mlevi na muhuni kupitiliza kuozeshwa mwanaume mwema na mwenye maadili yaliyotimia....

 

Diana Spencer

JF-Expert Member
Nov 14, 2018
2,552
2,000
Dunia haina usawa kabisa:

Ni kawaida kwa mwanaume malaya, mlevi na muhuni kupitiliza kuozeshwa bint mwema na mwenye maadili yaliyotimia.....

Ila ni nadra sana kukuta kuwa:

Mwanamke malaya, mlevi na muhuni kupitiliza kuozeshwa mwanaume mwema na mwenye maadili yaliyotimia....

Kweli kabisa
 

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Apr 24, 2015
3,905
2,000
Miaka 19 ni mdogo sana.
Pengine hata mwanaume anaongea na vicheche wake mbele yake na hakafanyi kitu.
Huyo mwanaume angenioa mimi ningeshamkata naniii zake nichemshe supu. Nimechukia sana
hahaha kumbe hata kwa mchemsho wa supu zinafaa
 

Leonardchama7

JF-Expert Member
Apr 14, 2018
2,281
2,000
Yuko mafunzoni huyo binti atakuwa binti wa kikurya amekuwa huku akishuhudia vipigo kwa ***** sasa kwa nini yeye asipigwe,
Mhimu kama yuko hapa town fanya juu chini nipate namba yake ili tumzibue masikio,baada ya hapo mmewe lazima ataomba poor
 

Qurie

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
3,100
2,000
Samahani Mkuu,
Kwani mtoto anaanza na miaka mingapi?
Mimi nasikiaga kwa watu wakisema kuwa ndoa ni maridhiano ya watu wawili. Vipi ulijaribu kufuatilia kabila la jirani yako? Maana kunakabila linaruhusu mwanamke kupigwa na kwa kufanya hivyo inadhihirisha upendo wa mume kwa mke wake. Au ni stress za kuolewa ndy zinapelekea baadhi ya watu kufuatilia maisha ya watu wengine?
Makabila ya huko kanda ya ziwa ndo Yana hizi habari za Kama hupigwi Basi hupendwi Hawa Wala sio wa Kanda ya ziwa....
Mtoto Mara nyingi anaishia miaka kumi na nane ila miaka kumi na Tisa hata ishirini bado Ni mtoto tuuu Kama una mtoto au mdogo wako mwenye umri huu najua utanielewa hapa.....

Alaf Sina stress za ndoa Wala Nini miii namuonea huruma huyu mtoto since katoka kwao huko kijijin kanateseka tuu hapa ingekuwa kaolewa mdada wa Mjini wala nisingejishughulisha maana najua anajua baadhi ya haki zake
 
Top Bottom