Wanaume wanaooa au wanaopenda kuoa wanawake wa kijijini ndo waharibifu wakubwa

mkuu we umeolewa!!!achakufatilia ndoa za watu....[ila kama unahuruma sana nenda karipoti kwenye dawati la jinsia kuhusu huyo binti]ila angalia anaweza kukukana yeye hapigwi?unajua kuna vitu ndani ya ndoa kama haujaingia nivigumu kuvijua
 
Wewe jirani weweeee may thunder strike you.... Shenzi kabisaaa.....

Ipo ivi hapa nnapokaa nna jirani yangu Ni mwanaume alioa mwezi uliopita zile ndoa za ramadhani zile... Sasa kilichonifanya nianzishe Uzi Ni jinsi anavo mtreat mkewe yaan sio sawa kabisa , kwanza binti wa watu ana miaka kumi na Tisa tuu kametolewa kijijini kuletwa mjini Kuja kuteseka kabinti kawatu kanapigwa na ndo kwanza ndoa Haina hata miezi mitatu.... Mwanaume Ni Malaya huyuuu kila nikirudi kutoka kwenye mizunguko yangu namfuma maeneo ya hatari ila najikausha tuu Leo nimeshindea kuvumilia kwakweli maana leo tena kampiga vibao mtoto wa watu kwa kosa la kijinga kabisa.....

Swali langu kwa wanaume wa huku jf wenye tabia Kama hi kwanini ukaoe mtoto wa watu mdogo anaesalimia kwa kupiga goti uje umtese???? SI Bora utafute gume gume za huku mjini tuuu.....

Wito kwa wazazi na wale wenye ndugu zao vijijin msiozeshe mabinti zenu wadogo kwa mwanaume ambae hajajuana nae yaan amekuja tuu kijijin kwa ajil ya kutaftiwa mke tuuu wanakuja kuteseka huku jamani...

Uyu msichana anapenda kajifunika funika kumbe anaficha alama za alipopigwa
Wewe mwanaume wewe naomba Mungu uwe tuu jf uje usome hapa ili angalau uache ujirekebishe
Unatakiwa utafte namna ya kumsaidia kwnza uzi badae
 
Miaka 19 ni mdogo sana.
Pengine hata mwanaume anaongea na vicheche wake mbele yake na hakafanyi kitu.
Huyo mwanaume angenioa mimi ningeshamkata naniii zake nichemshe supu. Nimechukia sana
Ahahahahaahahha wakati unamkata yeye anakuwa wapi? Anafanya nini? Asije akakukata wewe akatengeneza KANGE MOJA HATARI LA NANILIYUUUU
 
Yaan sijui hata nimsaidiaje.... Nlimwambia awaambie nyumbani kwao akaniambia cm yake Haina ela nikampa ela akaweke vocha sijui hata Kama alisema......

Kenyewe kanasema nyumbani kwao wamemuambia ndoa Ni kuvumilia.... Aliniambia ivyo mtoto mwenzie ambao wanashinda wote..... Alaf Sasa saa zingine kanapigwa alaf kanatoka nje kanacheka na kuongea hata hakanuni jamani..... Nyie wanaume nyieee na nyinyi mtazaa tuu watoto wa kike
Badala ya kusema home kwake, atasema kwa mumewe uje upigwe na wewe sasa..
 
Mpe pole huyo mke uji, mwambie ramadhan imeisha kazi yake imeisha, arudi kwao.
Yaani Ni Bora arudi kufanya kazi zake za ndani tuuu.... Nakaonea huruma tuu Kama tayar kamebeba mimba maana ndo mtiani mwingine utampata zaidi
 
Back
Top Bottom