Unataka Tukapasue mawe tuotoke jasho ndio tupate hela???
Kila mtu ana namna yake.
Siungi mkono swala la mashoga lakini inatakiwa ujue mazingira ya kutafuta pesa yamebadilka kutokana na tecknolojia kukua kadiri siku zinavyozidi kwend hutoana watu wakiendelea kufanya kazi ngumu kama kubeba mizigo mizito na bado watu utaona wanaishi maisha mazuri
Ni kweli wanaume siku hizi wanataka 'soft life'.....kila kijana anataka kua msani eti atatoa single mda wowote......wakati hata kipaji hamna kazi yao nikula chips zilizo changanya na mayaye chakula cha kike hichoHabari wakuu,
Twende kwenye mada...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Ni kwamba nimekuwa nikiangalia namna ambavyo vijana wa kiume wa sasa na nimekuwa nikijiuliza maswali mengi...
Utakuta vijana wa kiume hawajitumi katika kufanya kazi kwa bidii ili wajiingizie vipato na badala yake wamekuwa wakijiingiza katika maisha ya ajabu kama kudanga kwa majimama ili wawezeshwe kimaisha.
Wengine wao wanajigeuza kuwa mashoga ili tu wajirahisishe wapate pesa kirahisi.
Yani sikuhizi vijana wa kiume wanafanya mambo ya aibu ili wapate pesa.
Wamesahau kuwa maandiko yanasema "mwanaume atakula kwa jasho".
Ni aibu maana mtoto wa kiume kushindwa kusaka pesa na kusubiri kuletewa na mwanammke.
Nawaza tu miaka ijayo tutakuwa na wanaume wa shoka kweli..
Ni hayo tu...
Karibuni...
Donatila mm ni mwanaume. Ndio kuna baadhi ya waenzangu ambao ni tabia zao. Hahangaik... wapo tu.. hata kazi za kutolea hawaendi.Habari wakuu,
Twende kwenye mada...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Ni kwamba nimekuwa nikiangalia namna ambavyo vijana wa kiume wa sasa na nimekuwa nikijiuliza maswali mengi...
Utakuta vijana wa kiume hawajitumi katika kufanya kazi kwa bidii ili wajiingizie vipato na badala yake wamekuwa wakijiingiza katika maisha ya ajabu kama kudanga kwa majimama ili wawezeshwe kimaisha.
Wengine wao wanajigeuza kuwa mashoga ili tu wajirahisishe wapate pesa kirahisi.
Yani sikuhizi vijana wa kiume wanafanya mambo ya aibu ili wapate pesa.
Wamesahau kuwa maandiko yanasema "mwanaume atakula kwa jasho".
Ni aibu maana mtoto wa kiume kushindwa kusaka pesa na kusubiri kuletewa na mwanammke.
Nawaza tu miaka ijayo tutakuwa na wanaume wa shoka kweli..
Ni hayo tu...
Karibuni...
Mfumo wa utafutaji umebadilika...
Zamani ilimuhitaji mwanaume kuwa na nguvu za kimaumbile kuweza kuzalisha...
Kwa sasa inahitajika nguvu ya akili (maarifa) ili kuweza ku-survive...
Tuulaumu mfumo na si watu
Kwahiyo namna mloiona nyinyi kuwa marioo sio?Unataka Tukapasue mawe tuotoke jasho ndio tupate hela???
Kila mtu ana namna yake.
Hahaha
Kumbe kujituma kwingine. Nilidhani ni kule kunakohitaji nguvu za ziadaHabari wakuu,
Twende kwenye mada...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Ni kwamba nimekuwa nikiangalia namna ambavyo vijana wa kiume wa sasa na nimekuwa nikijiuliza maswali mengi...
Utakuta vijana wa kiume hawajitumi katika kufanya kazi kwa bidii ili wajiingizie vipato na badala yake wamekuwa wakijiingiza katika maisha ya ajabu kama kudanga kwa majimama ili wawezeshwe kimaisha.
Wengine wao wanajigeuza kuwa mashoga ili tu wajirahisishe wapate pesa kirahisi.
Yani sikuhizi vijana wa kiume wanafanya mambo ya aibu ili wapate pesa.
Wamesahau kuwa maandiko yanasema "mwanaume atakula kwa jasho".
Ni aibu maana mtoto wa kiume kushindwa kusaka pesa na kusubiri kuletewa na mwanammke.
Nawaza tu miaka ijayo tutakuwa na wanaume wa shoka kweli..
Ni hayo tu...
Karibuni...
Kwahiyo namna mlioiona ni nyinyi kuwa marioo sio?
One of the best comment big up mkuu..Mfumo wa utafutaji umebadilika...