ExactlyHa aha ha hivi kwan ukimpa kuna kitu kitapungua kwako? Trust me Wanaume hatuwez kumfanyia upuuzi Mwanamke kama hatujapewa nafas ya kuongea nae upuuzi.
Mpe za uso,kama yeye kashindwa kukuheshimu kwanini wewe umuonee haya!Tulikuwa tunaheshimiana sana,yaani naogopa hata kumkejeli au kumtusi,yaani aibu inanishika,nawaza nitumie lugha gani aachane na mimi
Mwambie ukweli then kaa kmya fanya mambo yako ukizid kurespond anavokutafuta jua fika atakushinda.Naomba mbinu basi
utakua ni 'mod' wewe sio bureunachokitafuta utakipata soon
Mi nakueleza from experience... ATAKUJA kujitilisha huruma hapo UTAMPA tu.... Makosa haya ushayafanya..Duh! Acha basi
Sasa review your story ili iendane na usomi wakoNdio 2016
Mambo NAKWEDE....Mpe za uso,kama yeye kashindwa kukuheshimu kwanini wewe umuonee haya!
Au na wewe moyo wako unaelekea "kumdondokea"?
Umeanza vizuri,unamalizia vibayaMi nakueleza from experience... ATAKUJA kujitilisha huruma hapo UTAMPA tu.... Makosa haya ushayafanya..
1. Kimkatibisha home MTU aliyekutongoza huku hutaki AKUGEGEDE
2. Kumuonyesha umekubali kumpa mambo huku ukijia hutaki kumpa
3. Kujenga mazoea ya kugegedana in the name of shem
BTW, NINI HASA KINAKUFANYA USITAKE KUMPA?
Sasa kama ni "shem" wake kwanini atake kumgegeda mwanamke ambaye alikuwa na rafiki yake?Mambo NAKWEDE....
Hivi ikigegedwa maana yake hujaheshimiwa?