Hivi ukiwa na elimu ndo unapata kaz moja kwa moja?hivi haujui kwa hali ya sasa ni kazi kupata kazi?
Hujatuambia kama jamaa anaelimu na nguvu lakini hataki kutafuta kaz?
Mi nafikiri jamaa anaweza akawa kwenye mchakato wa kutafuta ajira so demu wake anaendelea kumhudumia kwa kila kitu kama yeye ndo anafanya kaz kwa wakati huo,