Wanaume wanaohongwa na wanawake

Wanaume wanaohongwa na wanawake

Ikitokea Swala kamla Simba inakuwa habari kubwa sana, lakini Simba kamla Swala haiwezi kuwa habari sababu imeshazoeleka....
 
Kuhongwa na mwananmke kawaida ila kuhongwa na mwanaume mwenzio ndo co mambo
 
hapo hahongwi ila anasaidiwa tena kwa maridhiano yao, ww kinakuuma nini?
Aisay hata mimi nilibahatika nao wanamna hio, enzi za ujana wangu na kula K afu nanuliwa nacho kitaka :biggrin:
 
 
Last edited by a moderator:
Kusaidiana pande zote kupo sana! Tatizo ni hii misamiati ya kuhonga au kulelewa
 
Hivi ukiwa na elimu ndo unapata kaz moja kwa moja?hivi haujui kwa hali ya sasa ni kazi kupata kazi?
Hujatuambia kama jamaa anaelimu na nguvu lakini hataki kutafuta kaz?
Mi nafikiri jamaa anaweza akawa kwenye mchakato wa kutafuta ajira so demu wake anaendelea kumhudumia kwa kila kitu kama yeye ndo anafanya kaz kwa wakati huo,
 
Back
Top Bottom