Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,214
- 64,307
Hiyo kitaalam inaitwa jua lishazama [emoji38]Picha llinaisha mwanamke age imeeenda mwili umechakaa. Wots next'?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ndio huwa ni patamu. Dada mwili ndio ulikuwa source of income, akishachoka sasa mwili.
Naomba nisiongee zaidi.
Kwako Wema na Kajala [emoji363][emoji363][emoji363][emoji363]
Wale waliomchakaza bado wanaendelea kuchakaza wenginePicha llinaisha mwanamke age imeeenda mwili umechakaa. Wots next'?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ndio huwa ni patamu. Dada mwili ndio ulikuwa source of income, akishachoka sasa mwili.
Naomba nisiongee zaidi.
Kwako Wema na Kajala [emoji363][emoji363][emoji363][emoji363]
Well said [emoji110]Ni kosa mwanaume kuwalaumu wanawake wti wanatumia njia ya mkato kupata hela, unataka mtoto mzuri akakoroge zege?
Wanawake wameumbwa kutunzwa, kupendezeshwa, kulindwa na kupewa, wao ni wapokeaji wa kila kitu, wanapokea mashine, wanapokea shahawa, wanapokea mimba, nk.
Binadamu kua mwanamke tu ni gharama.
Tuwatunze hawa viumbe watupatie raha na burudani Duniani. Hawa viumbe wapo kutufurahisha na kutupa raha.
Usipohonga mwanamke unataka umhonge nani?