Wanaume wanaocheza mziki

haya kila la heri katika kutafuta
 
Vipi wanaokatika wakati wa tendo?
 
umejickia kusifia wana hiphop???.... au bwana wako hakupi fresh ktandan nao kila sehem unasema mauno wapeleke kitandani
 
Kila mziki unastail yake ya uchezaji. Huwezi lazimisha mwanamziki wa sebene kucheza kama mwanamziki wa hiphop acha ushamba.
 
Unataka akatike wapi ndo upende
 
Story inatusaidia nini km kiuno kinachokatwa si chako
 
Ukuiona kitu hukipendi ujue hakijashushwa kwa ajili Yako
 
Ila darasa anacheza vizur bwana, ile mikono anavoichezesha unataman uendelee kumtazama tu.
Weka kavideo nikaone basi...
Namsikia tu!!


[HASHTAG]#RestInPeaceDena[/HASHTAG]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…