Hivi ni kwanini wanaume wanakatika sana wakiwa wanacheza mziki wanamaanidha nini,,,,yaan sipendi kabisa kuona mwanaume akikata mauno ,hata hawa wasanii wetu wanaudhi na kukera aisee ,,hamumuoni Darasa anavaa vyema ,havai hereni,anavyocheza sasa kigentlemen mpaka unapenda tu kumuangalia ,,
Napenda sana mwanaume mgumu ,akicheza mziki acheze kiuanamme ,mfano fd q hua hakatiki na yuko poa tu
bibie..wewe juzi si ndio umekuja na mfano picha wa aina ya mwanaume anayekuvutia?....vigezo vyote alivyokua navyo leo hii unavichukia tena?!?..yamekuwa hayo?!...hizi pilau za christmas hizi!!!!Sasa ukienda club sehemu za starehe wanaume wanakatika unakuta limtu linakatika linataka licheze nawe aisee hua sitaki kabisaa,mwanaume unakatika ya niniii?
Ahahahahhahah tyta nawee ,,,helen afadhal nadhani japo sipendi pia mwanaume avae hereni,bibie..wewe juzi si ndio umekuja na mfano picha wa aina ya mwanaume anayekuvutia?....vigezo vyote alivyokua navyo leo hii unavichukia tena?!?..yamekuwa hayo?!...hizi pilau za christmas hizi!!!!
Weka picha ya kijana anaevutia
Thread by: Dinazarde, Dec 11, 2016, 253 replies, in forum: JF Chit-Chat
Limwanaume linakatika hahahaHivi ni kwanini wanaume wanakatika sana wakiwa wanacheza mziki wanamaanidha nini,,,,yaan sipendi kabisa kuona mwanaume akikata mauno ,hata hawa wasanii wetu wanaudhi na kukera aisee ,,hamumuoni Darasa anavaa vyema ,havai hereni,anavyocheza sasa kigentlemen mpaka unapenda tu kumuangalia ,,hivi na kina chriss brolwn wanakatika hivi kweli sijawahi ona,,,hayo mauno mnayokatika hadharani hebu yapelekeni kitandani kwa wake zenu au wapenzi wenu
Napenda sana mwanaume mgumu ,akicheza mziki acheze kiuanamme ,mfano fd q hua hakatiki na yuko poa tu
Sasa ukienda club sehemu za starehe wanaume wanakatika unakuta limtu linakatika linataka licheze nawe aisee hua sitaki kabisaa,mwanaume unakatika ya niniii?
Jifunzeni basiii kupitia hawa kina darasa,joh makin,niki wapili na vijana wengine wanaocheza vyema tu,hayo mauno katikeni kwenye viuno vyetu kama mnajua kukatika kweli bana
Yaan wanaume wanaokatika wakiwa wanacheza mziki wanakeraa aisee na vinguo vyenu vya kubana,
Tusameheane tu ila ukweli usemwee