wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!

Absolutely Maryrose you have done it .Tangu nimenza kusoma comment i was wondering yani ni kama mgonjwa anaumwa sukari halafu anaenda kwa fundi umeme kuomba amuelekeze dawa.nilipofika kwako nikamaliza

Last edited by a moderator:
Mmmh au ww ndio huvutiii hahah kwa dunia ya leo na mlivyo wengi all places are booked tafuta alie oa akusaidie

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Amsaidie nini?amekwambia ana shida ya kt?tumia busara we si ndio kila siku unajitia uzinzi dhambi?

Endelela tu hivyo hivyo mkuu, mpaka utakapofikia mahali hakuna anayekuaproach ndo utatukumbuka sisi unaotushit sasa hivi. Kwani unadhani waliosema 'majuto ni mjukuu' walikuwa wajinga?
Kwa ushauri wa kukujenga ingekufaa zaidi kama ungekuwa open minded katika suala la mahusiano. Kama unadhani utapata mtu anaye-meet matarajio yako 100%, basi imekula kwako.

mhm...well kweli wanawake wamekuwa na power ya kuchagua sasa....mie naona dawa ni moja tuu kuwamega na kusepa hamna haja ya kukaa nao wala kuwaoa

ukitaka wa kukufaa ndo hao hao ambao ww unawadharau unawaona elimu yao ndogo ila ukipata ambaye mnaendana kielimu,umri na vi2 vingine uwe tayar kuishi maisha ya kuigiza kwa maisha ya cku hzi afu mwisho wa siku mnagawana njia za kutokea

you are very right EMT, msingi mkuu wa ndoa ya kudumu ni compromise. hii si kwa wadada/wake tu, ni kwa wote. utakuta mara nyingi tu mnakuwa na mawazo yaliyopishana kabisa lakini at the end of day mnatakiwa kufikia conclusion, mtafikiaje bila compromise?
tukiangalia hata kwenye urafiki wa kawaida, mtu kuwa rafiki yako haimaanishi mnafanana kwa kila kitu. mimi ni mfano mzuri, nina rafiki ambaye kila mtu huwa ananiuliza hivi unawezaje kuwa na urafiki na huyo dada, yaani kila mtu hamuwezi. lakini ukweli ni kwamba, mimi na yeye kuna kipindi tunaweza kubishana muda wa saa nzima, then kila mtu anatawanyika bila kufikia muafaka. baadae namfwata tunaongea, namuelewesha, tunakubaliana.
mtoa mada sijui alikuwa anataka ushauri gani, lakini ajue kuwa hakuna mtu atampata ambaye wapo compatible hata 75%. la maana tu ni kuangalia other factors mengine yatajipanga wakiwa kwenye mahusiano

Last edited by a moderator:
bible say mungu atanipa wa kufanana nami ila mie simuoni huyo wa kufanana na mie na siwezi kuamua kuwa na mtu yeyote tu kwasababu hajatokea wangu,

Naomba zingantia hapo kwenye red, kwanza sema The Bible says........

Shida yangu kubwa nawe ni kuwa kama kweli unaamini Bible kama ulivyojipambanua hapo juu inakuwaje unakuwa selective kwa wanaume, eti eee hawana status, education je hiyo Bible unayoamini imekwambia mwanaume awe na status gani? au elimu gani, nina mashaka nawewe juu ya kumwamini mungu  juu ya kukupatiamchumba.

Manamake mengine bana (kama hili) yaan full kujikweza utafiri ana nini cha maana kivilee ambacho ni so special wakati kinachompa kiburi ni hilo ripochi lake la manyoya ambalo nahisi kabisa hata huo utamu watu walishanyonya wote na rimebaki dude fulani hivi tu kwa ajili ya haja ndogo. Mashauzi kibao, utajua tu, eti status, elimu na mambo mengi tu ya kijingajinga, una elimu gani wewe ambayo wengine hawana?, vingereza vya gumbalu kibao, yaan umeniboa kinyama, na utabaki hivyo hivyo.

Muumbe mwenyewe basi!!!! Wahenga wanasema ankuli ranhara waunkali tambara maana yake mchagua nazi mwisho upata koroma,we endelea kuchagua mwisho tutakuja sikia umeolewa na mchunga ng'ombe au msukuma mkokoteni,jipange wewe!!! Mapenzi hayapo hivyo unavyofikiria,Elimu,Status and the like ni kutojitambua!!!

mm nashindwa kukuelewa, mana hujaweka vigezo na sifa za Mr right wako,.alafu unakuja hapa na lawama, tukusaidiaje? Mwaga sifa zako na za unaemtaka uone yawezekana na mm ni mmjowapo wa wanaokutaka!!

jikagie upya na ujitathimin na pia uangalie mahitaji yako kama ni muhim sana kuliko unachokiota kukipat

Mapenzi ni hisia ya raha uipatayo unapokuwa na mwenza wako........Tatizo tunatofautiana kwenye kitu gani kinakupa raha unapokuwa na huyo mwenza wako........HIVYO BASI baki kwenye msimamo wako ili upate ukipendacho waache wanaopenda majambozi, sura, haiba, pesa na mali nk.......

Hapo nilipo-bold nakupa LIKE ila naongezea anachotakiwa ni kujua kwamba huyo mtu anaweza kubadilika kwani siku zote lazima tuelewe kwamba ukiona watu wamedumu kwenye mahusiano si kwamba mmoja wao alikuwa yupo perfect bali walisomana na kujirekebisha sehemu ambazo kwa namna moja ama nyingine zilikuwa zinakuwa zinamkwaza mwenzake.

Naomba utupatie level ya elimu yako na kazi yako unayofanya ambayo ndio unaitegemea katiaka kukuingizia kipato bibie.

Love is dynamic, it evolves, grows, matures, flourishes, fades away and so on. Yuo can't seat there and contemplate through illusions that some one of your status, education, wealth etc. will emerge and suddenly you love him and he loves you. This is absurd and a daylight dream. Develop a friendship to each one approaching u, in the course of acquainting to each other, you will be able to isolate the dislikes and engage the likes. Your age is advancing and young and beautiful ones are being born, where do u think your position will be in 2 yrs to come? Acha kunyanyapaa husbands to be u will live to regret na kusaga meno wakati hutakuwa hupati hata salam kwa mwezi. Tafakari chukua hatua sasa.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…