miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Jina lako lenyewe linaonekana!!!
salama rafiki?
kuna tabia nyingine siyo za kuzing'ang'ania, ni vizuri kubadilika kwa maslahi yako na wanaokuzunguka
hawa huwa ni wagumu?
niyumwiki mlongo wangu.....Na mkiongea kwa sauti ya juu ndo tunawakimbia.. Uyumuka lakini???
ha haaaa, huyo mwanaume hapo atakuwa kilaza, anaogopa challengesSalama best.
Ni kweli mamy,ila abadilike kwa maslahi yake na wamzungukao kama kweli kuna huo uhitaji na si ili wanaume wampende kwa vile tu wanamwambia abadilike.
Wanaume wanapenda mwanamke wa kumnyenyekea muda wote na kufata kila aambiwacho bila ku argue.
Ndio maaana sio kila mwanamke anafaa kuwa mke
Hata mi huwa naambiwa kauzu nipo serious sana
usiogopeee utapata wa kukupenda na ubabe wako
mimi ni mkali sana
ILA WANAUME HUNIONA MPOLE SANA sijui kwa sababu NAHESHIMU UWEPO WA MWANAUME
plz usitake haki sawa na wanaume waache wakuchukulie wewe kama mtoto wacha wawe kichwa it wont cost you a thing mwanaume ni mwanaume even bible says
KUSHINDAANA KWAKO NA WANAUME KUNAWEZA KUKAWA SABABU WATCH OUT WANAUME HAWAPENDI HIYO HALI
Anayefaa kuwa mke ana alama gani?
Hahahaa...baada ya kusoma huu uzi imebidi tu nicheke...maana hata mimi huwa naambiwa hivyo
mrefu kwakweli
Anza na huu ushauri hapa chini ukishindwa ni PMhabar wanajamii. heshma kwenu.
Naombeni mchango wa mawazo. imetokea wanaume wananiambia ati wananiogopa, mie ni mbabe, najiamini sana na wengine huenda mbali kwa kusema mwanamke wa dizain yako sioi.
kwakweli sipo hivyo na huwa naumia sana MTU anaponitamkia hayo.
Nasikitika mana sielewi ni kitu gani na kutongozwa na waume za watu kumezidi il a sio na singles?
tafadhalini wanajamii naimani kuna watu wanaofahamu vizuri psychology wanishauri jamani.
Asanteni kwa kunijibu bila kejeli
^^
Ni kawaida ya kundi la aina yenu, nje mnajiamini, nje mna nguvu, nje mnajiweza, nje mnazidi sifa za baadhi ya wanaume! Ndani mnaumia, mna upendo, mnahitaji kufarijiwa, mnapenda kujitoa kwa dhati na kwa hiari, Lakini wanaume wanaojua siri yenu hii hamkutani nao sana!
Sasa, vaa tabasamu, ondoa mikunjo ya uso, tembea na ufunguo wa kuyaona mambo ni mepesi ! Azima sauti ya kawaida! Be simple!
Wanaume wengi hawavutiwi na mwanamke aliyekama mwanaume! Make a femine revolution inside yourself. Your a beautiful woman trust me.
(oo! Sorry kumbe hii ni thread ya wanasaikolojia, yachukulie hayo maneno ya mlevi tu)
^^