Wanaume wanalia na kugugumia Moyoni

Wanaume wanalia na kugugumia Moyoni

Aman Ng'oma

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
966
Reaction score
537
Maandiko katika vitabu vya dini yamebainisha wazi kuwa mwanamke ameumbwa ili aje kuwa msaidizi wa Mwanaume.

Msaidizi maana yake ni kufanya kazi sambamba na Bosi. Popote alipo Bosi msaidizi naye anatakiwa awe pembeni au Bosi akisafari, majukumu yake yanakasimishwa kwa msaidizi au vyovyote itakavyo amuriwa. Na hii ndiyo maana ya usaidizi.

Lakini hali imekuwa tofauti. Mwanamke akipata mume ni kama amepata mfadhili wa kumuhudumia kuanzia kula yake, saluni yake, kuwalipia watoto ada, kugharamia matukio mbalimbali ya furaha na karaha lakini vilevile kuwatunza wazazi wake na wako kama hawajiwezi.

Mwanaume siku zote amekuwa ni wa kuwaza na kubangua bongo ni kwa namna gani atafanya ili aweze kupata kipato kitakachokimu familia yake huku mke akiwa hana habari.

Wakati mwanaume usiku wa manane usingizi unakata kufikiria januari ada za watoto, chakula cha familia, bili za umeme na maji, nauli za kila siku kwenda kazini, michango ya harusi kwa marafiki na Misiba kwa ndugu na jamaa, mwanamke yeye anapiga usingizi na kukoroma juu, burudini kabisa bila msongo wowote wa mawazo.

Mwanaume siku zote amekuwa mtu wa kupambana kuhakikisha kuwa anatimiza mahitaji ya familia yake nyumbani. Kuna wakati mwanaume analazimika kukopa bila mke au watoto kujua ili kuinusuru familia kulala na njaa.

Wanaume kimsingi wao ni watoaji kiasili na wako tayari kubeba mzigo mzito moyoni ili familia iwe na furaha.

Laiti wanawake wangejua msalaba amabao umebebwa na wanaume kwa ajili yao na watoto, baba angepewe heshima kubwa. Lakini ajabu kuna wanawake hawajui kushukuru.

Hakuna kitu kinachomuumiza mwanaume kama mke wake kukosa shukurani. Mwanaume ni kama askari aliye katika mstari wa mbele anahitaji kupongezwa pale anapofanya vizuri lakini pili kusaidiwa pale anapoelemewa.

Lakini wanawake wengi hawafanyi hivyo. Wanajua kuwa baba ana njia nyingi za kufanya na kupata hela. Hata ukihangaika yeye hana habari.

Wanaume wengi wanalia na Kugugumia moyoni. Kwa mfano unakuta umebahatika kumuoa mwanamke mfanyakazi lakini ajabu hela yake hata siku moja huwezi kuiona. Mahitaji yote wewe utatoa.

Ukimgusa kwenye hela yake ni mkali au ukimuuliza hela yake anaitumiaje atakuambia anaitumia humo humo ndani lakini ukiomba mchanganuo wake au uthibutisho wa matumizi yake ya ndani huwezi kupata.

Ushauri kwa wanaume unapohudumia familia yako usijisahau kujihudumia wewe mwenyewe na kujiwekea
akiba ya kula uzeeni.

Kumbuka, ukizeeka utabaki peke yako watoto wataambatana na mama yako.

Ubize wako hauna maana kwako zaidi ya kujitengenezea msongo wa mawazo.

Na usijalazimishe kutekelezaja majukumu yaliyo nje ya uwezo wako utaumia

Hakikisha kuwa mke wako unamfanya awe msaidizi wa kweli. Kama ana kazi yenye kipato hakikisha nae unampa majukumu ya kutekeleza. Asikae tu akabweteka kwamba kila kitu utaleta.

Nchi za afrika bado utegemezi ni mkubwa huwezi kumudu kuhudumia familia peke yako unaweza kupasuka kichwa.

Mpe majukumu ili mgawane misongo ya mawazo vinginevyo utatengeneza mali zinazohamishika na zisizohamishika lakini mwisho wa siku utaziacha mapema kabla ya kuzifaidi.

Nafahamu kuwa kifo ni wajibu kwa kila kiumbe hai aliyoumbwa na Mwenyezi Mungu.

Lakini ni ajabu wanaume hatushituki kwani wanaokufa zaidi ni wanaume ukilinganisha na wanawake.

Hapa siingilii ukuu wa Mungu lakini najaribu tu kuwaza. Inakuwaje wanaokufa zaidi ni wanaume peke yao au ndo kusema kuwa wanaume wana miili teketeke sana?

Najua Wanaume wana vita kali sana wanahitaji kung'amua vinginevyo watoto wataendelea kuishi na mama zao bila Baba.

Sikatai kuna baadhi ya wanawake hawana kazi wameolewa kama akinamama wa nyumbani.

Kama umeoa aina hii ya mwanamke hakikisha unapambana kumwezesha nae aweze kupata kazi, iwe kazi ya kuajiriwa au ya kujiajiri. Lengo naye awe na kipato cha kuchangia familia.

Ni vigumu mwanamke aliyezoea kuhudumiwa akaelewa somo hili la usaidizi kwa mwanaume.

Na najua pia kuna ambao watasema huyu kidudu mtu katokea wapi lakini wanaume tunapaswa kuelezana ukweli.

Mara nyingi waume hugugumia moyoni pale anapokutana na magumu katika utekelezaji wa wajibu wake kama Baba. Hana pa kusemea na hana wa kumtetea.

Kuna wakati unaweza kuwa na shida imekukaba hadi shingoni na mfuko huna hata noti mbuvu.

Mambo hayaendi lakini wakati unahangaika kumbe mwenzi wako ana mishahara minne isiyoguswa imetulia tu Benki na hashituki kwa lolote na wala hajigusi kwa chochote na hashituki.

Ukiuliza kwanini, atakuambia mwanaume ameambiwa kuwa atakula kwa jasho na mwanamke atajifungua kwa uchungu.

Wakati mwanaume unajilalamisha kuwa hana hela na haelewi atafanyaje kujinasua, yeye anakuchora tu na kukupa maneno matupu kwamba usijali mume wangu Mungu atakujakia utapata hela na maisha yatakuwa sawa. Sisi tuko na wewe.

Unajiuliza maisha yatakuwa sawa kivipi wakati hata huyo mwanaume haonewi huruma?

Maisha kusaidiana lakini ajabu kuna wanawake wengine wanakuwa kama chuma ulete ndani ya familia. Yaani chake ni chake na chako ni cha wote.

Naongea na wanaume wengi sana katika kubadilishana mawazo hususan masuala ya kifamilia.

Kuna wanawake ni hatari. Wanajua kupiga matukio ile mbaya.

Hebu fikiria kuna mwanamke yuko ndani ya ndoa na anajenga nyumba hadi inaisha bila mume wake kujua.

Inatia hasira. Binafsi nawajua wanawake wengi waliyojenga nyumba bila waume zao kujua.

Ndugu zangu wababa tunapigwa vibaya.

Kuna rafiki yangu mmoja alipata kunisimulia siku moja kuwa mke wake alihitaji kwenda kumuona mtoto wao aliyekuwa akisoma Singida.

Wao wanaishi Dodoma Maeneo ya Msalato. Mke alihitaji jwenda Singida Kumwona Mtoto. Hivyo aliomba nauli ya kwenda na kurudi na akiba kidogo kwa ajili ya kumnunulia mtoto mahitaji muhimu.

Jamaa akamwambia mke wake kuwa kwa sasa hana hela badala yake asubiri hadi mshahara utakapotoka ambapo ilibaki siku chache utaoke ndipo afunge safari ya Singida.

Majibu ya yule mke wake hakuyapenda kwani alibwatuka kuwa mara hutilii manane suala la mtoto, hela unazo ila unaweka vipaumbele mambo mengine tu lakini siyo suala la mtoto. Mara huna mapenzi na mtoto na mambo mengine mengi.

Yule jamaa yangu akaona kelele zimezidi akaende zake chumbani kupumzika. Ile anafika chumbani tu mke wake nae akatinga ndani. Na akamwambia, lazima unipe hela mwisho wa siku akanyang'anywa pochi ambayo ilikuwa na laki moja pekee ambayo kwa wakati ule jamaa aliniambia ndiyo iliyobaki kama akiba kwa ajili ya matumzi madogo madogomadogo ya kusogeza siku.

Katika kurupushani jamaa aliniambia kuwa alifanikiwa kuchukua kadi ya Benki ya mke wake na akaenda kuificha nje kwenye gari yake. Badae akaona isiwe shida akamwacha.

Asubuhi ilipokucha mwanamke alienda zake stendi kupanda gari kuelekea Singida.

Jamaa alijisikia vibaya sana. Watoto wanataka kunywa chai asubuhi lakini nyumbani hakuna sukari wala vitafunwa.

Gari taa ya mafuta imewaka. Ikabida apambane aende Mjini ili akaangalie kwenye akaunti ya mke wake kuona kama atakuta chochote kitu hata kama ni elfu ishirinini ili angalau iweza kuwasitiri watoto wake nyumbani.

Jamaa aliniambia hakuamini machoni kwake, alipoangalia salio kwenye akaunti ya mke wake alikuta kuna shilingi laki tisa.

Kwahiyo jamaa kwa haraka akatoa mzigo wa kaki tatu, akajaza mafuta kwenye gari yake pomoni kisha hela iliyobaki akaenda kuwanunulia watoto mikate sukari pamoja na mboga kwa ajili ya chakula cha mchana

Lakini pia badae aliendelea kutoa hela hadi ilipoisha yote na akamwambia ametoa hela yake yote ili iwe fundisho asirudie tena kutumia hela isiyokuwa kwenye mpango.

Mwanamke ilimuuma sana lakini hakuwa na nmna alikuwa anaona tu ujumbe katika simu yake kuwa kiasi fulani cha pesa kimetoleaa kwenye akaunti yake.

Lakni aliniambia kuwa hakuwa na nia mbaya bali nia yake ilikuwa ni kumfundisha asirudie tena ujinga aliyoufanya. Baada ya miezi kama mitatu kupita alimrudishia hela yake yote na akamwambia rudia tena uone.

Kwahiyo mifano ni mingi sana. Muhimu kwa manaume kujihurumia. Mizigo anayeibena inamzidi uwezo wake.

Bahati mbaya sana wanaume wameachwa kama watoto yatima, hakuna taasisi hata moja inayowatetea wala kuwasikiliza. Taasisi nyingi ziko dhidi ya wanaume.

Jaribu kufuatilia familia ambazo wanawake wanawapiga tafu waume zao, wanaume hao wanaishi maisha marefu sana kwa kuwa matatizo ya nyumba ni matatizo ya wote na yanatatuliwa kwa kushirikiana.
Mwanaume anakuwa hana msongo wa mawazo.

Hebu fikiri wazee wetu vijini. Baba akioa, mke ana jukumu la kupambana kuhakikisha kuwa baba anakula. Atamka asubuhi kwenda kutafuta kuni, mboga kuandaa unga au mchele nk.

Lakini mwisho wa siku Baba anakula tu. Unaweza kuona Babu zetu walikuwa wanaishi maisha marefu sana.

Lakini wanaume wa sasa tunapaswa kujichunguza dhidi ya wake zetu vinginevyo tutaendelea kuteketea.

Sina hila bali nakukumbusha ewe mwanaume mwenzangu, maisha ni yako siyo ya mke wala watoto, sasa jifanye una huruma iliyopitiliza uone.

Wenzetu hawana huruma kama ambavyo tunadhani. Wako kimaslahi. Ngoja siku uishiwe nakuambia utakuja kujua rangi kamili ya mwanamke.

Nina mifano kwa rafiki zangu wengi, mmoja nilisoma nae na alifariki kwa matatizo ya mke wake kisa alisimamishwa kazi ofisini kwake. Masengenyo yalikuwa mengi, dharau zilipita kiasi, na mwanamke alianza tabia zisizo za kawaida.

Kumbuka kuwa mioyo ya wanaume ni laini sana haiwezi kuhimili mikikimikiki.

Jamaa tulimzika. Na kosa la jamaa hakuweka wazi mapema angalau tukapata kumshauri mapema.

Kuna mwingine pia hivyo hivyo lakini yeye aliweza kutushirikiaha sisi rafiki zake na tukasimama kama wanaume kumshauri kimawazo na kifedha.

Tunashakuru jamaa anaendelea vizuri.

Visa vya vijana hawa wawili nitavielezea kwa kirefu sana siku za mbele Inshallah ili watu wajue kuwa kuna wanawake wanajua kuwanyanyasa waume zao.

Pia tutaendelea kupeana mbinu za kujua namna ya kuishi vizuri na viumbe hawa maana hata maandiko yamebainisha wazi kuwa mwanaume anapaswa kuishi kwa akili na mwanamke.

Ni kosa kutumbukiza miguu yote miwili kwenye maji. Fuata ushauri wangu kwa akili zako. Sikulazimishi, kama utaona unakufaa ufuate vinginevyo utajua wewe.

Dokta Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne aliwi kusema akili ya kuambiwa changanya na ya kwako. Na waswahili husema majuto ni mjukuu.
 
Ndugu yangu, Dah! Mimi siitaji msaada wowote wa mwanamke, naitaji utii na uaminifu, Nami nitampa kila kitu!

Pamoja na kumpa kila kitu;

1. Hakuna utii
2. Hakuna uaminifu….

Ni kuachana nayo tu na kuzilinda afya zetu!
 
hivi uloandika unajua kazi ya kutunza mimba miezi tisa wewe? au uajua kazi ya kupush mtoto wakati wa kujifungua wewe? unajua adha ya kukesha kubembeleza kichanga? yaani siku hizi pia wanaume hamna shukrani. imeandikwa mwanaume atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu kila mmoja apambane na agizo lake kutoka kwa Mungu. acha kunung'unika tunza familia wewe.
n.b sijasoma waraka wote.
 
Mabaya ama mazuri yote ni msingi mliojiwekea ninyi wawili. Hekima inayotumika kwa mwanamke kula/kutumia pesa ya mwanaume same inatumika kula pesa ya ke. Kama kuna watu mnashindwa kula au kuiona pesa za wake/wapenzi wenu kuna sehem mnakwama.
 
Mwanamke ni mbinafsi kiasili....ndo maana wanauliza ukifa utatuachaje
 
Majibu ya yule mke wake hakuyapenda kwani alibwatuka kuwa mara hutilii manane suala la mtoto, hela unazo ila unaweka vipaumbele mambo mengine tu lakini siyo suala la mtoto. Mara huna mapenzi na mtoto na mambo mengine mengi.
Hakukuwa na visiting ya mtoto yoyote hapo. Huyo shemeji yako alikuwa anakwemda kuliwa na jamaa mwingine sehemu maana hata huko shuleni hakufika. Haiwezekani mtu aweke kipaumbele cha kwenda shuleni ilihali anaona kabisa kiuchumi HAIWEZEKANI .
 
Maandiko katika vitabu vya dini yamebainisha wazi kuwa mwanamke ameumbwa ili aje kuwa msaidizi wa Mwanaume.

Msaidizi maana yake ni kufanya kazi sambamba na Bosi. Popote alipo Bosi msaidizi naye anatakiwa awe pembeni au Bosi akisafari, majukumu yake yanakasimishwa kwa msaidizi au vyovyote itakavyo amuriwa. Na hii ndiyo maana ya usaidizi.

Lakini hali imekuwa tofauti. Mwanamke akipata mume ni kama amepata mfadhili wa kumuhudumia kuanzia kula yake, saluni yake, kuwalipia watoto ada, kugharamia matukio mbalimbali ya furaha na karaha lakini vilevile kuwatunza wazazi wake na wako kama hawajiwezi.

Mwanaume siku zote amekuwa ni wa kuwaza na kubangua bongo ni kwa namna gani atafanya ili aweze kupata kipato kitakachokimu familia yake huku mke akiwa hana habari.

Wakati mwanaume usiku wa manane usingizi unakata kufikiria januari ada za watoto, chakula cha familia, bili za umeme na maji, nauli za kila siku kwenda kazini, michango ya harusi kwa marafiki na Misiba kwa ndugu na jamaa, mwanamke yeye anapiga usingizi na kukoroma juu, burudini kabisa bila msongo wowote wa mawazo.

Mwanaume siku zote amekuwa mtu wa kupambana kuhakikisha kuwa anatimiza mahitaji ya familia yake nyumbani. Kuna wakati mwanaume analazimika kukopa bila mke au watoto kujua ili kuinusuru familia kulala na njaa.

Wanaume kimsingi wao ni watoaji kiasili na wako tayari kubeba mzigo mzito moyoni ili familia iwe na furaha.

Laiti wanawake wangejua msalaba amabao umebebwa na wanaume kwa ajili yao na watoto, baba angepewe heshima kubwa. Lakini ajabu kuna wanawake hawajui kushukuru.

Hakuna kitu kinachomuumiza mwanaume kama mke wake kukosa shukurani. Mwanaume ni kama askari aliye katika mstari wa mbele anahitaji kupongezwa pale anapofanya vizuri lakini pili kusaidiwa pale anapoelemewa.

Lakini wanawake wengi hawafanyi hivyo. Wanajua kuwa baba ana njia nyingi za kufanya na kupata hela. Hata ukihangaika yeye hana habari.

Wanaume wengi wanalia na Kugugumia moyoni. Kwa mfano unakuta umebahatika kumuoa mwanamke mfanyakazi lakini ajabu hela yake hata siku moja huwezi kuiona. Mahitaji yote wewe utatoa.

Ukimgusa kwenye hela yake ni mkali au ukimuuliza hela yake anaitumiaje atakuambia anaitumia humo humo ndani lakini ukiomba mchanganuo wake au uthibutisho wa matumizi yake ya ndani huwezi kupata.

Ushauri kwa wanaume unapohudumia familia yako usijisahau kujihudumia wewe mwenyewe na kujiwekea
akiba ya kula uzeeni.

Kumbuka, ukizeeka utabaki peke yako watoto wataambatana na mama yako.

Ubize wako hauna maana kwako zaidi ya kujitengenezea msongo wa mawazo.

Na usijalazimishe kutekelezaja majukumu yaliyo nje ya uwezo wako utaumia

Hakikisha kuwa mke wako unamfanya awe msaidizi wa kweli. Kama ana kazi yenye kipato hakikisha nae unampa majukumu ya kutekeleza. Asikae tu akabweteka kwamba kila kitu utaleta.

Nchi za afrika bado utegemezi ni mkubwa huwezi kumudu kuhudumia familia peke yako unaweza kupasuka kichwa.

Mpe majukumu ili mgawane misongo ya mawazo vinginevyo utatengeneza mali zinazohamishika na zisizohamishika lakini mwisho wa siku utaziacha mapema kabla ya kuzifaidi.

Nafahamu kuwa kifo ni wajibu kwa kila kiumbe hai aliyoumbwa na Mwenyezi Mungu.

Lakini ni ajabu wanaume hatushituki kwani wanaokufa zaidi ni wanaume ukilinganisha na wanawake.

Hapa siingilii ukuu wa Mungu lakini najaribu tu kuwaza. Inakuwaje wanaokufa zaidi ni wanaume peke yao au ndo kusema kuwa wanaume wana miili teketeke sana?

Najua Wanaume wana vita kali sana wanahitaji kung'amua vinginevyo watoto wataendelea kuishi na mama zao bila Baba.

Sikatai kuna baadhi ya wanawake hawana kazi wameolewa kama akinamama wa nyumbani.

Kama umeoa aina hii ya mwanamke hakikisha unapambana kumwezesha nae aweze kupata kazi, iwe kazi ya kuajiriwa au ya kujiajiri. Lengo naye awe na kipato cha kuchangia familia.

Ni vigumu mwanamke aliyezoea kuhudumiwa akaelewa somo hili la usaidizi kwa mwanaume.

Na najua pia kuna ambao watasema huyu kidudu mtu katokea wapi lakini wanaume tunapaswa kuelezana ukweli.

Mara nyingi waume hugugumia moyoni pale anapokutana na magumu katika utekelezaji wa wajibu wake kama Baba. Hana pa kusemea na hana wa kumtetea.

Kuna wakati unaweza kuwa na shida imekukaba hadi shingoni na mfuko huna hata noti mbuvu.

Mambo hayaendi lakini wakati unahangaika kumbe mwenzi wako ana mishahara minne isiyoguswa imetulia tu Benki na hashituki kwa lolote na wala hajigusi kwa chochote na hashituki.

Ukiuliza kwanini, atakuambia mwanaume ameambiwa kuwa atakula kwa jasho na mwanamke atajifungua kwa uchungu.

Wakati mwanaume unajilalamisha kuwa hana hela na haelewi atafanyaje kujinasua, yeye anakuchora tu na kukupa maneno matupu kwamba usijali mume wangu Mungu atakujakia utapata hela na maisha yatakuwa sawa. Sisi tuko na wewe.

Unajiuliza maisha yatakuwa sawa kivipi wakati hata huyo mwanaume haonewi huruma?

Maisha kusaidiana lakini ajabu kuna wanawake wengine wanakuwa kama chuma ulete ndani ya familia. Yaani chake ni chake na chako ni cha wote.

Naongea na wanaume wengi sana katika kubadilishana mawazo hususan masuala ya kifamilia.

Kuna wanawake ni hatari. Wanajua kupiga matukio ile mbaya.

Hebu fikiria kuna mwanamke yuko ndani ya ndoa na anajenga nyumba hadi inaisha bila mume wake kujua.

Inatia hasira. Binafsi nawajua wanawake wengi waliyojenga nyumba bila waume zao kujua.

Ndugu zangu wababa tunapigwa vibaya.

Kuna rafiki yangu mmoja alipata kunisimulia siku moja kuwa mke wake alihitaji kwenda kumuona mtoto wao aliyekuwa akisoma Singida.

Wao wanaishi Dodoma Maeneo ya Msalato. Mke alihitaji jwenda Singida Kumwona Mtoto. Hivyo aliomba nauli ya kwenda na kurudi na akiba kidogo kwa ajili ya kumnunulia mtoto mahitaji muhimu.

Jamaa akamwambia mke wake kuwa kwa sasa hana hela badala yake asubiri hadi mshahara utakapotoka ambapo ilibaki siku chache utaoke ndipo afunge safari ya Singida.

Majibu ya yule mke wake hakuyapenda kwani alibwatuka kuwa mara hutilii manane suala la mtoto, hela unazo ila unaweka vipaumbele mambo mengine tu lakini siyo suala la mtoto. Mara huna mapenzi na mtoto na mambo mengine mengi.

Yule jamaa yangu akaona kelele zimezidi akaende zake chumbani kupumzika. Ile anafika chumbani tu mke wake nae akatinga ndani. Na akamwambia, lazima unipe hela mwisho wa siku akanyang'anywa pochi ambayo ilikuwa na laki moja pekee ambayo kwa wakati ule jamaa aliniambia ndiyo iliyobaki kama akiba kwa ajili ya matumzi madogo madogomadogo ya kusogeza siku.

Katika kurupushani jamaa aliniambia kuwa alifanikiwa kuchukua kadi ya Benki ya mke wake na akaenda kuificha nje kwenye gari yake. Badae akaona isiwe shida akamwacha.

Asubuhi ilipokucha mwanamke alienda zake stendi kupanda gari kuelekea Singida.

Jamaa alijisikia vibaya sana. Watoto wanataka kunywa chai asubuhi lakini nyumbani hakuna sukari wala vitafunwa.

Gari taa ya mafuta imewaka. Ikabida apambane aende Mjini ili akaangalie kwenye akaunti ya mke wake kuona kama atakuta chochote kitu hata kama ni elfu ishirinini ili angalau iweza kuwasitiri watoto wake nyumbani.

Jamaa aliniambia hakuamini machoni kwake, alipoangalia salio kwenye akaunti ya mke wake alikuta kuna shilingi laki tisa.

Kwahiyo jamaa kwa haraka akatoa mzigo wa kaki tatu, akajaza mafuta kwenye gari yake pomoni kisha hela iliyobaki akaenda kuwanunulia watoto mikate sukari pamoja na mboga kwa ajili ya chakula cha mchana

Lakini pia badae aliendelea kutoa hela hadi ilipoisha yote na akamwambia ametoa hela yake yote ili iwe fundisho asirudie tena kutumia hela isiyokuwa kwenye mpango.

Mwanamke ilimuuma sana lakini hakuwa na nmna alikuwa anaona tu ujumbe katika simu yake kuwa kiasi fulani cha pesa kimetoleaa kwenye akaunti yake.

Lakni aliniambia kuwa hakuwa na nia mbaya bali nia yake ilikuwa ni kumfundisha asirudie tena ujinga aliyoufanya. Baada ya miezi kama mitatu kupita alimrudishia hela yake yote na akamwambia rudia tena uone.

Kwahiyo mifano ni mingi sana. Muhimu kwa manaume kujihurumia. Mizigo anayeibena inamzidi uwezo wake.

Bahati mbaya sana wanaume wameachwa kama watoto yatima, hakuna taasisi hata moja inayowatetea wala kuwasikiliza. Taasisi nyingi ziko dhidi ya wanaume.

Jaribu kufuatilia familia ambazo wanawake wanawapiga tafu waume zao, wanaume hao wanaishi maisha marefu sana kwa kuwa matatizo ya nyumba ni matatizo ya wote na yanatatuliwa kwa kushirikiana.
Mwanaume anakuwa hana msongo wa mawazo.

Hebu fikiri wazee wetu vijini. Baba akioa, mke ana jukumu la kupambana kuhakikisha kuwa baba anakula. Atamka asubuhi kwenda kutafuta kuni, mboga kuandaa unga au mchele nk.

Lakini mwisho wa siku Baba anakula tu. Unaweza kuona Babu zetu walikuwa wanaishi maisha marefu sana.

Lakini wanaume wa sasa tunapaswa kujichunguza dhidi ya wake zetu vinginevyo tutaendelea kuteketea.

Sina hila bali nakukumbusha ewe mwanaume mwenzangu, maisha ni yako siyo ya mke wala watoto, sasa jifanye una huruma iliyopitiliza uone.

Wenzetu hawana huruma kama ambavyo tunadhani. Wako kimaslahi. Ngoja siku uishiwe nakuambia utakuja kujua rangi kamili ya mwanamke.

Nina mifano kwa rafiki zangu wengi, mmoja nilisoma nae na alifariki kwa matatizo ya mke wake kisa alisimamishwa kazi ofisini kwake. Masengenyo yalikuwa mengi, dharau zilipita kiasi, na mwanamke alianza tabia zisizo za kawaida.

Kumbuka kuwa mioyo ya wanaume ni laini sana haiwezi kuhimili mikikimikiki.

Jamaa tulimzika. Na kosa la jamaa hakuweka wazi mapema angalau tukapata kumshauri mapema.

Kuna mwingine pia hivyo hivyo lakini yeye aliweza kutushirikiaha sisi rafiki zake na tukasimama kama wanaume kumshauri kimawazo na kifedha.

Tunashakuru jamaa anaendelea vizuri.

Visa vya vijana hawa wawili nitavielezea kwa kirefu sana siku za mbele Inshallah ili watu wajue kuwa kuna wanawake wanajua kuwanyanyasa waume zao.

Pia tutaendelea kupeana mbinu za kujua namna ya kuishi vizuri na viumbe hawa maana hata maandiko yamebainisha wazi kuwa mwanaume anapaswa kuishi kwa akili na mwanamke.

Ni kosa kutumbukiza miguu yote miwili kwenye maji. Fuata ushauri wangu kwa akili zako. Sikulazimishi, kama utaona unakufaa ufuate vinginevyo utajua wewe.

Dokta Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne aliwi kusema akili ya kuambiwa changanya na ya kwako. Na waswahili husema majuto ni mjukuu.
Boss Natafuta Ajira Iwe jua iwe mvua huu Uzi upitie
 
Kwanza kabisa hayo maandiko ya dini si kila mtu anayakubali.
 
Mbona hamueleweki..
Mara hamtaki wafanye kazi eti wakifanya kazi mara watakugongwa na kina Engonga...
Wakikaa nyumbani tena malalamiko kuwa mnaonewa mnatafuta peke yenu...
So which is which...
 
Back
Top Bottom