Wanaume wanalia na kugugumia Moyoni

Wanaume wanalia na kugugumia Moyoni

Boss Natafuta Ajira Iwe jua iwe mvua huu Uzi upitie
Ingawa uzi ni mrefu nimejitahidi kuusoma mpaka mwisho. Mtoa mada kaeleza ukweli, kwa sasa mahusiano na ndoa imekua loability kwa mwanaume.

Mwanamke anataka nafasi ya mwanaume lakini hautaki wajibu wa mwanaume ambao unamfanya apewe iyo nafasi.

Mwanamke anataka privilege ya mwanamke lakini ataki wajibu wa mwanamke unaomfanya apewe iyo privilege.

Suluhisho lililobaki ni sisi wanaume kujipa kipaumbele wenyewe tu.
 
hivi uloandika unajua kazi ya kutunza mimba miezi tisa wewe? au uajua kazi ya kupush mtoto wakati wa kujifungua wewe? unajua adha ya kukesha kubembeleza kichanga? yaani siku hizi pia wanaume hamna shukrani. imeandikwa mwanaume atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu kila mmoja apambane na agizo lake kutoka kwa Mungu. acha kunung'unika tunza familia wewe.
n.b sijasoma waraka wote.
Shida ndio hiyo kama kawaida yenu ni kukurupuka tu 😄😄😄, ulitakiwa uusome.
 
Ukiishi kwa kutegemea support ya mwanamke kwanza unakua umepotea njia,
 
Back
Top Bottom