wanaume wanahusika zaid kujibu hili swali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanaume wanahusika zaid kujibu hili swali

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eversmilin Gal, Mar 9, 2012.

 1. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  utajisikiaje ukigundua mke wako hakuamini tena na kama ndo hivyo upendo umeshuka kwa sababu labda umefanya mambo fulan baadhi ya hayo Ni:unarudi late saa 8 saa 9 au pengine asubuh
  Kwenye walet yako umeweka picha ya mwanamke mwingine
  Hutoki naye
  unaonekana sio mwami
   
 2. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Kama nampenda itaniuma
   
 3. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  halafu utachukua hatua gani kama ikikuuma
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Ukianza kufanya hivyo huyo mwanamke atakuwa amekukifu/kinai huyo wa nje ndo analipa
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Ya kujirekebisha tabia naanza kurudi saa 12 na kupunguza tamaa za kimwili alafu nazidisha tamaa za kuangalia kwa jicho tu au unatumia njia mbadala ya kula kwa macho
   
 6. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo utaendelea na huyo wa nje
   
 7. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Najirekebisha
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  mmmh I'll be back
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Nae itafika kipindi atakifu inabidi nirudi kwa wanyumbani na mapenzi yataanza moto moto
   
 10. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa maana hiyo itabidi umpe mkeo talaka ili huyo wa nje anayelipa uhalalishe au?
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Wa nje ni kama spare tyre itafika kipindi unahitaji kuacha kutumia spare tyre unarudi kutumia la kawaida ndo wa home huyo sasa spare tyre unaiacha inatumika inapo bidi tu
   
 12. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  na kama na yeye ndo hakutrust si fake tu kama wanawake walio wengi
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  yaani urudi saa tisa usiku kufanya nini?
  Bora kwenda kazini moja kwa moja.

  Na sifanyi chochote kwa mke wangu sababu nitakuwa nimemchoka sana.
   
 14. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Ni jambo baya mume kutokuwa unaaminika nyumbani na ni jambo baya zaidi kufikia hatua ya kubeba picha za wanawake wengine kwenye wallet. Binafsi yangu sitamani kumfanyia hivi mke wangu hivi na ni vyema kila mume kustruggle kuondoka na hii hali.
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hapa ndipo unapojichanganya wewe mtu, hueleweki jinsia yako kabisaaa
  Itakuwa unajisahau tu kwa bahati mbaya we ni dume la mbegu
   
 16. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mungu akubarik kwa maneno yako yenye hekima
   
 17. T

  Tata JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,736
  Likes Received: 657
  Trophy Points: 280
  Hatua stahili itategemea na chanzo cha kutoaminiwa.
   
 18. zimwimtu

  zimwimtu JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 1,889
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  utakuwa umevuna ulichopanda, we vituko vyote hivyo unategemea aendelee kukuamini!!, hapo amua moja, kujirekebisha au kuvunja ndoa uendelee na huyo wa nje..., (bt the second option sounds crazy to me)
   
 19. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Too imaginary!!
   
 20. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  unamaanisha nini
   
Loading...