wanaume wanahusika zaid kujibu hili swali

utajisikiaje na wewe unarudi mapema nyumbani hukuti chakula ingawa kipo stoo, kwenye handbag ipo picha ya mwanaume mwingine hataki mtoke wote,unamwona sio mwaminifu je hapo kisu kimeingia kwenye mfupaaa?
 
paka nafanya vituko hivyo sii ina maana kuwa tayari nilishamchoka na ninamtumia kama chombo cha starehe
 
utajisikiaje ukigundua mke wako hakuamini tena na kama ndo hivyo upendo umeshuka kwa sababu labda umefanya mambo fulan baadhi ya hayo Ni:unarudi late saa 8 saa 9 au pengine asubuh
Kwenye walet yako umeweka picha ya mwanamke mwingine
Hutoki naye
unaonekana sio mwami

Au mkeo/mpenzi kakufuma uko bar moja tuliiivu unamtongoza demu, halafu we hujamuona ila yeye kakuona na kasikia mazungumzo yako na uyo dem, alafu kaja pale mlipo bila kelel wala nini, kavuta kiti kakaa, ivi utafanyaje?
 
Mke lazima apewe heshima, ujinga kutembea na picture ya mwanamke sio mke wako, kwenye walet yako.
 
utajisikiaje ukigundua mke wako hakuamini tena na kama ndo hivyo upendo umeshuka kwa sababu labda umefanya mambo fulan baadhi ya hayo Ni:unarudi late saa 8 saa 9 au pengine asubuh
Kwenye walet yako umeweka picha ya mwanamke mwingine
Hutoki naye
unaonekana sio mwami
ntajisikia vizuri kwasababu mimi ndio chanzo cha tatizo.
 
Kama huwezi muheshimu kurudi mapema mara nyingi au kuthubutu kuweka picha ya mwanamke mwingine kwenye walet. Hivi kweli utajali yeye kuto kukuheshimu? Kuna la kukuheshimu hapo na hali wewe humuheshimu?
 
kwa maelezo yako haiwezekani mume kuwa muwazi kiivyoo hata siku moja na ikitokea hivyo jua hapo hakuna mapenzi kwa mume juu ya mkewe na talaka ipo njiani. Ila huwa inatokea mke hakuamini kwa kuwa ulisha wahi kumsaliti kipindi cha uchumba so chakufanya nikujitahidi kushinda kwamara ya pili ktk moyo wake
 
Mie siwezi kumfanyia hivo my wife.na kama nitafanya hivo mana yake simtaki tena na aondoke tu. Unajua sisi vidume huwa tunajifanya vichwa sana, je akikifanyia hivo utajisikiaje?
 
anafanya hivyo hivyo halafu anataka uzoee uone ni kawaida anadai anakupenda hiv kwel inaingia akilin
 
Sasa huo ni ujinga! umemuoa akae na nani kama wewe niwakurudi saa 9 usiku? labda uniambie kazi zako ni za kurudi mida, lakini nsijui ulikua bar, sijui disco, itakua uendawazimu akikuamini.
tena yawezekana kabisa kama ni binti wa mjini na yeye akajitafutia mwanamume wa kupumzika nae sababu wewe huna time nae.
Na hio picha inatafuta nini humo kwe wallet? huu ni uchokozi wa wazi.

Hapo huyo mwanamke ana haki ya kuondoka ahamie kwingine
 
Kwa upande wangu mimi sidhani kama hali hiyo inaweza kutokea kwa sababu huwa sipendi kumuudhi mtu ninayempenda kwa dhati hasa ubavu wangu na hata kama ikitokea nitajitahidi kujirekebisha ili niweze kurudisha imani na upendo wake kwangu.
 
Au mkeo/mpenzi kakufuma uko bar moja tuliiivu unamtongoza demu, halafu we hujamuona ila yeye kakuona na kasikia mazungumzo yako na uyo dem, alafu kaja pale mlipo bila kelel wala nini, kavuta kiti kakaa, ivi utafanyaje?

Ize kwa kuwa kaja kistaarabu namuagizia kinywaji anachopendelea kisha maisha yanaendelea...
 
kufanya haya yote nayo ni sehemu ya wehu
utajisikiaje ukigundua mke wako hakuamini tena na kama ndo hivyo upendo umeshuka kwa sababu labda umefanya mambo fulan baadhi ya hayo Ni:unarudi late saa 8 saa 9 au pengine asubuh
Kwenye walet yako umeweka picha ya mwanamke mwingine
Hutoki naye
unaonekana sio mwami
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom