my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Kama ulikuwepo mawazoni mwangu.Inaonekana wewe ndio unateseka maana hadi umemjua gf wake mpya ukamchunguza ukaona ni mbaya, uzuri wa mtu uko machoni mwa anayemtazama. Just move on girl
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa yaaniInaonekana wewe ndio unateseka maana hadi umemjua gf wake mpya ukamchunguza ukaona ni mbaya, uzuri wa mtu uko machoni mwa anayemtazama. Just move on girl
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kazuri kuliko ww ndo maana kamekuporaWanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu [emoji23][emoji23] halafu kuna wetu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona [emoji23][emoji23] kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii [emoji28] halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia [emoji6]
Sema boy wako ndio anahangaika. Inaonyesha hajiamini halaf yaaan kama vile hakutarajia kuachika.Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu [emoji23][emoji23] halafu kuna wetu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona [emoji23][emoji23] kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii [emoji28] halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia [emoji6]
Wewe mimi siumii cuz mimi ndio nimemuacha halafu baada ya kumuacha kani block kote kote. Sasa hapa anaeumia nani kama sio yeye. Girl wake mpya sijamchunguza nimetumiwa picha na mtu tuInaonekana wewe ndio unateseka maana hadi umemjua gf wake mpya ukamchunguza ukaona ni mbaya, uzuri wa mtu uko machoni mwa anayemtazama. Just move on girl
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana yakeeSound like wivu hiviii!!!auuu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mimi siumii cuz mimi ndio nimemuacha halafu baada ya kumuacha kani block kote kote. Sasa hapa anaeumia nani kama sio yeye. Girl wake mpya sijamchunguza nimetumiwa picha na mtu tu