my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu 😂😂 halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona 😂😂 kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii 😅 halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia 😉


halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia