Wanaume wana real love kuliko wanawake...

Wanaume wana real love kuliko wanawake...

Ni kweli mna real love kwa mpira na mambo yenu mnayopenda kama vile pombe n.k ila sio kwa wapenzi wenu na wake zenu.

kiukweli mwanaume yeyote anapenda kinachompa raha kwa hiyo kama unataka akupende kuliko mpira na pombe hakikisha unampa raha zaidi ya ile anayoipata huko
 
Hahaa hahaaaa hapa MKATA KIU umetubia mchana kweupeeeeee

Hayo malove ya kwenye mpira na wapenzi wapi na wapi?????

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
jaman comments za wanajamii forum znachekesha had raha,yan kama nkiboreka na nkitaka kufurah nazama ndan ya JF,stress zote znakua off
 
jaman comments za wanajamii forum znachekesha had raha,yan kama nkiboreka na nkitaka kufurah nazama ndan ya JF,stress zote znakua off
nenda kule kwenye siasa ndo utajua kuwa haupo JF
kama hujatoka na sura iliyokunjamana basi utazima pc na kidude cha kuwashia
 
Aaaaah wapi wanaume sio watu hata mke wake ampe raha kiasi gani,hata mkewe avunjikie kiuno kitandani ili kumpa raha,mwanaume kupenda kitu kingine tofauti na mkewe ni jambo la kupigia mstari...........
kiukweli mwanaume yeyote anapenda kinachompa raha kwa hiyo kama unataka akupende kuliko mpira na pombe hakikisha unampa raha zaidi ya ile anayoipata huko
 
kiukweli mwanaume
yeyote anapenda kinachompa raha kwa hiyo kama unataka akupende kuliko
mpira na pombe hakikisha unampa raha zaidi ya ile anayoipata
huko

Na yeye anakupa nini in return? Headache.
Akalilie hukohuko uwanjani,sitaki uchuro mie in the name of real Love.
 
Ukweli ni kuwa wanaume tuna real love lakini wanawake wana tuangusha sana kwa tamaa zao.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom