Wanaume wana real love kuliko wanawake...

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,481
Reaction score
8,582
Nimejifunza na kuamini wanaume tuna true love kuliko wanawake, our love is for real, sema hatukutani na wale wenye real love like us ndo maana tunaamua tuwe pasua kichwa..

Nina imani tukiamua kumpa mwanamke real love kama tunazozipa timu zetu za mpira ingekuwa balaa,
Kwa kuangalia baadhi ya picha za mashabiki wa Celtics jana at celtic park in Glasgow Scotland utagundua men love for real

1.. shabiki wa celtic akilia kwa uchungu baada ya kushuhudia team yake kufungwa n 3-0 na juventus jana, huyu shabiki aligoma kutoka kwa 30 minutes after a match hadi official wakaja kumtoa

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

Shabiki mwingine akiondoka kwa uchungu ndani ya celtic park jumamne usiku baada ya timu yake kufungwa,, uchungu kama huu unakuja kwenye real love tu, ni wanawake wachache duniani wanaopata bahati ya kumliza mwanamme kwa uchungu kama timu zao za mpira zinavyowaliza wakifungwa.... hapo alipokuwa anatoka ndani ya uwanja wao wa nyumbani celtic park aka paradise huku analia kwa uchungu baada ya kushuhudia team yake ikifungwa na juventus jana usiku kwenye champions league knock out stage game 1… uwanja wao wanauita paradise maana wanajisikia furaha sana wakiwa hapo na wameumia sana kushuhudia wakifungwa magoli hapo hapo nyumbani kwao na juventus..

JE HUU UPENDO KWA TEAM ZETU TUNGEWAPA WANAWAKE ZETU INGEKUAJE?
 
mhh wewe mkaka huachi tangu lini wanaume wakawa na real love mana kila siku wazuri wanazaliwa na nyie mnajifanya hamzeeeki
 
Mi nakubal mwenyewe nna real love sema sasa hawa pasua vichwa!
 
Mhhh.Si kweli labda kwenye mpira tu na pombe..Wanawake huwa wanapenda ila wanaume huwa wanatamani na upendo huja baadae.
 
prove it with o reasonable dougtht
 
Ni kweli mna real love kwa mpira na mambo yenu mnayopenda kama vile pombe n.k ila sio kwa wapenzi wenu na wake zenu.
 
uko sawa, mwanamke akipenda kawaida kaumbiwa upendo, mwanaume kaumbiwa tamaa akipenda jua real love,
naunga mkono hoja
 
baby wako kakufanyia nini leo?
Ahhhh!!!.Baby wangu yupo mbali bana na mimi hivo bila bila leo..Si vibaya ukinialika kwenye surprise ya baby wako.
Afu niambie yule jamaa mwenye laki tano wa ijumaa ulifanikiwa kwenda nae mlima wa moto???
 
kama wewe ni bila bila mimi ni zero zero hadi muda huu!
yule jamaa aliniudhi alipm eti ana vitz?
utaenda wapi na mwanaume ana vitz?
 
paka humpenda yeyote ili mradi apewe MAZIWA kila asubuhi lkn MBWA hata uhamie Kigamboni toka kimara atakufwata kwa miguu akinusa ulipopita. Kwa mfano huu utaona wenzetu popote penye frequent supply ya maziwa(mshiko) mapenzi yatakwepo hata akija mpangaji mpya! Lkm sisi wanaume ni km MBWA tunalia tu na mmoja hao wengine mnaosema tunawatamani ni kanuni za uwindaji alizoumbiwa Mbwa lzm afukuzie kinachokatiza mbele yake akipata ahsante mungu akikosa mwingind atapita hahahaaaa
 
kama wewe ni bila bila mimi ni zero zero hadi muda huu!
yule jamaa aliniudhi alipm eti ana vitz?
utaenda wapi na mwanaume ana vitz?
hahahaaaa.Basi Ngoma drooo mimi na wewe. Tujipange twende tukaonyeshe mapendo kwa watoto yatima basi msimbazi center..Mie ntakupitia wewe jiandae.
Halafu usidharau vidogo..Wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha.. Hako ka vitz kanaweza kukua na kufikia makamo ya Hammer.
 
mi kweli naenda muhimbili kucheki wagonjwa si unajua kuna watu wametelekezwa mle?
nipo na mabest zangu tumejichangachanga
kuhusu vitz ikikua kuwa hammer nitapanda
 
Vipi smile bado upo muhimbili?
 
uko sawa, mwanamke akipenda kawaida kaumbiwa upendo, mwanaume kaumbiwa tamaa akipenda jua real love,
naunga mkono hoja

When a man loves, he loves for real.. But tatizo wanawake wengi hawa deserve kupendwa ndo maana tunazingua
 
Hii hainiingii akilini kwa kweli, ina maana ukiwa unapenda kitu fulani kupita kiasi ndo gurantee ya true love kwa binadamu? Kwa hiyo nikipenda chipsi kuku to the extent nikikosa nalala jikoni nikilia ndo kisingizio kua najua kupenda?nosense!!naona maruwe ruwe tu hapa
 
Nimejifunza na kuamini wanaume tuna true love kuliko wanawake, our love is for real, sema hatukutani na wale wenye real love like us ndo maana tunaamua tuwe pasua kichwa..

Nina imani tukiamua kumpa mwanamke real love kama tunazozipa timu zetu za mpira ingekuwa balaa,
Kwa kuangalia baadhi ya picha za mashabiki wa Celtics jana at celtic park in Glasgow Scotland utagundua men love for real

1.. shabiki wa celtic akilia kwa uchungu baada ya kushuhudia team yake kufungwa n 3-0 na juventus jana, huyu shabiki aligoma kutoka kwa 30 minutes after a match hadi official wakaja kumtoa

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

Shabiki mwingine akiondoka kwa uchungu ndani ya celtic park jumamne usiku baada ya timu yake kufungwa,, uchungu kama huu unakuja kwenye real love tu, ni wanawake wachache duniani wanaopata bahati ya kumliza mwanamme kwa uchungu kama timu zao za mpira zinavyowaliza wakifungwa.... hapo alipokuwa anatoka ndani ya uwanja wao wa nyumbani celtic park aka paradise huku analia kwa uchungu baada ya kushuhudia team yake ikifungwa na juventus jana usiku kwenye champions league knock out stage game 1… uwanja wao wanauita paradise maana wanajisikia furaha sana wakiwa hapo na wameumia sana kushuhudia wakifungwa magoli hapo hapo nyumbani kwao na juventus..

JE HUU UPENDO KWA TEAM ZETU TUNGEWAPA WANAWAKE ZETU INGEKUAJE?
Wewe hujui wanalilia hela zao wameliwa walizokuwa wamewekeana kama dau? Hawaililii timu, bali pesa.
 
hahahaaaa.Basi Ngoma drooo mimi na wewe. Tujipange twende tukaonyeshe mapendo kwa watoto yatima basi msimbazi center..Mie ntakupitia wewe jiandae.
Halafu usidharau vidogo..Wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha.. Hako ka vitz kanaweza kukua na kufikia makamo ya Hammer.

wewe uko single?
 
Back
Top Bottom