Wanaume walio wengi wana tabia kama za mbwa

Wanaume walio wengi wana tabia kama za mbwa

Naunga mkono hoja ndugu, mimi kama kichwa cha huyu mwanamama nasema familia yangu tutalitekeleza [emoji3]

Naomba hii kampeni iendelee mpaka wajue sasa ndoa ni nini.
Hakika ndugu yangu Mgeni wa Jiji sisi wanaume ndiyo WATAWALA wa ndoa. Kwenye ndoa hakuna eti sijui "usawa", hakuna hiyo kitu. Kwenye ndoa kuna MTAWALA na watawaliwa; na mtawala ni MUME; yeye ndiyo KICHWA. Tuko pamoja ndugu.
 
Back
Top Bottom